sacajo
JF-Expert Member
- Jul 23, 2016
- 1,385
- 4,493
Kwahiyo huyo aliye hukumiwa kunyongwa kwanini wasimpe miaka hata 60??Every human being needs a second chance...sio lazma umtetee mtu aachiwe huru ila hata kumpunguzia makali ya kifungo...mf. baada ya miaka 30 hadi miaka 15 sio mbaya.