Sweetiepie
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 6,107
- 24,132
Asante pole na wewePolen na majukumu wadau
Hahahaha bitoz nimecheka sana, hiintaaply ck moja

Hilo ni jibu... Ila utofauti ni kipengele cha 4..Mi mwenyewe jibu silifahamu kwamweli
Huyu mchoraji ataitwa mchochezi soon
Naam shemeji!!Shemejiii
Hii inaitwaje sasa.. Tren lori au!?![]()
Twendeni Dodoma
Acheni ubishoo
![]()
![]()
![]()
.........
.
Kachochea niniHuyu mchoraji ataitwa mchochezi soon
Kausha!!! Kazin hapa.Sawa 2pac.......
Mwenzako wa ligi kuu huyo, ataviziaje rekod za mchanagni![]()
Asante sanaa.....ulikuwa unaivizis nini???
Ni kweli mkuu, mambo yamebadilika sana hata kuingia Chit Chat inakuwa ngumu wakati mwingine..
Familia wazima lakini? vipi kuhusu mishughuliko ya maisha?
HapanaHii inaitwaje sasa.. Tren lori au!?
Niaje??
Hope leo utaweka vitu au sio??
Kachochea uchochezi..Kachochea nini
.....
Mwenzako wa ligi kuu huyo, ataviziaje rekod za mchanagni
yuko vizuri kweli......wacha na mimi nifanye mazoez ili nisiwe wa mchangani