sacajo
JF-Expert Member
- Jul 23, 2016
- 1,385
- 4,493
Sawa kazi kaziKausha!!! Kazin hapa.
Sawa kazi kaziKausha!!! Kazin hapa.
Tuko poa, tunasubiri tu utupiemo ngoma kali za KF....[emoji4][emoji4]Familia wazima kabisa ndugu yangu tunamshukuru Mungu,
Mihangaiko iko poa japo mwezi huu nipo likizo ndiyo maana nipo sana humu.
Unacheka nini[emoji23][emoji23][emoji23]
Tatizo kichwa kimekuwa kigumu[emoji1] [emoji1] [emoji1]Halafu huelewi
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
.......
KiondoeTatizo kichwa kimekuwa kigumu[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Nimefurahi kukuona hapa, najua we huwa huonekani sanaSema Jimena!
Ntajitahidi ndugu yangu.
Tuko poa, tunasubiri tu utupiemo ngoma kali za KF....[emoji4][emoji4]
Usinirudishe nyuma nimeshasahau kilichonichekeshaUnacheka nini
Sawa ntafurahi : -)Don't fret!
Nikitoka tu hapa nilipo ntajitahidi kutupia.
🙂🙂🙂
Nimefurahi kukuona hapa,
Mbona bado mapema shem wangu?Good night guys! 🙂