Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,230
- 68,257
1960 - Mgogoro wa Congo, Kanali Mobutu Sesseseko anaingia Madarakani katika mapinduzi ya Kijeshi yaliyofadhiliwa na CIA.
Leo katika Historia:
1960 - Umoja wa Nchi zinazouza za mafuta ( OPEC ) waanzishwa.
1960 - Mgogoro wa Congo, Kanali Mobutu Sesseseko anaingia Madarakani katika mapinduzi ya Kijeshi yaliyofadhiliwa na CIA.
Morning ShululuMorning all
Morning, umeadimika sana mukongoMorning Shululu
1982 - Rais Mteule wa Lebanon aliyekuwa anasubiriwa kuapishwa Bachir Gemayel anauwawa.
Thanks for newspaper JJView attachment 399794View attachment 399795View attachment 399796
Nimemaliza kutoka magazetini, niite Jimena Jimenes
Shukrani kwa wadhamini wetu ambao ni miaka 20 ya kifo cha Tupac
Muwe na siku njema
Ciao
2003 - Nchi ya Estonia yajiunga na Umoja wa Ulaya.
Wenger kaishajivhokea akili yule, bora wamtimue aje mwanaume diego simeoneHuyo ndio tegemeo la Wenger, kiungo hajui majukumu yake na big match haziwezi kabisa
Ile forwad nayo mizinguo... World class player gani unashindwa kuondoka na mpira kwenye game kama ile!!![]()
![]()
hatar ngoja akae sawa
1932 - John Tembo anazaliwa.
Ni mwanasiasa toka nchini Malawi.
Umemsahau mtakatifu cazorla mkuu...cech,sanchez,bellerin,ozil na Laurent Koscielny
Viera wa bongo.. Màana qabongo kujipa mijina ya watu hawajambo.. Cannavaro, boban, messi, gaucho, tshabalala, iniesta n.k... N.kVieira yuleyule aliyekunjana jezi na kukwatuana na Roy Keane?
Labda Vieira wa Mpwapwa.
Katupia 3 o'clock.. Mpira wake kwapaniMessi katupia ngapi?
nipo ndugu yangu, sema wiki mbili tatu nimekuwa bize sana!Morning, umeadimika sana mukongo
Ndio cr7 anajiokoteaga humu.. Makundi tu, utaskia kapiga 10Timu kama hizi zinawatengenezea watu mazingira ya kuwa Wafungaji bora.
Maana hapo bado marudiano!