Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,642
We subiri tuMbwa ni Arsenal lakini siyo wewe
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Wachukua makombeNa Man je
Huyo ndio tegemeo la Wenger, kiungo hajui majukumu yake na big match haziwezi kabisaHuyu coquelain sijui kama atamaliza game, kadi nyekundu inamuhusu
Baba parokoWacha tumswalike huyu baba padri
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Brother wake mr bean
Yule ni pazia kabisaColoqueen ndezi tu
Kiungo pazia
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji2]
.......
Ni Wenger huyoEti Vieira mupya?
Acheni dharau nyie fans wa Arsenal.
[emoji15] Yani hili kombe watabaki kulisikia kwa majirani zao
[emoji23] [emoji23] [emoji23] hatar ngoja akae sawaSijui.. Lakin kwa halii hii ya kukosa magoli, labda akafume wa makaratasi..
Wachezaji wenye hadhi ya timu kama arsenal hawazidi Zaid ya watano, wengine majangaEti Vieira mupya?
Acheni dharau nyie fans wa Arsenal.
Tutawaazimisha[emoji15] Yani hili kombe watabaki kulisikia kwa majirani zao
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
Wengine kamilisha idadiWachezaji wenye hadhi ya timu kama arsenal hawazidi Zaid ya watano, wengine majanga
AnawauaNi Wenger huyo
Alexis Luambano
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Alexis Luambano
Ila kidole kimoja hakivunji chawaYupo...