Kitombise
JF-Expert Member
- Sep 24, 2013
- 8,652
- 25,849
Iniesta kaongeza cha 4Messi katupia ngapi?
Iniesta kaongeza cha 4Messi katupia ngapi?
Ile ndo mizinga ya mwishomwisho now kuna vibastola tuArsenal ile angalau walijitahidi!
Baada ya hapo Wenger anatengenezaga timu ya kuchukua ubingwa wa Emirate!
Hivi hawa watu wawili ni tofautiBaba paroko
Umesikia wapi mkuu.......hizo ni fununu tuSana, maana mnafundishwa kula kondoo badala ya kuwachunga
Na Bergkamp wa MbaraliVieira yuleyule aliyekunjana jezi na kukwatuana na Roy Keane?
Labda Vieira wa Mpwapwa.
hi hi hi...Na Bergkamp wa Mbarali
![]()
![]()
![]()
.....
Nitakuwa nawapa huko huko kwenye malishoHiyo dawa utakuwa unawapea wapi??
Ndo inaelekea hukoLeo saba naziona
Timu kama hizi zinawatengenezea watu mazingira ya kuwa Wafungaji bora.Ness katupia la 5
Barca 5- 0 celtic
Haaaahaaaa, wa mpwapwaVieira yuleyule aliyekunjana jezi na kukwatuana na Roy Keane?
Labda Vieira wa Mpwapwa.
na manatiIle ndo mizinga ya mwishomwisho now kuna vibastola tu
![]()
![]()
![]()
.......
Padriiiiiiii, hahaha, sio nyumbani kwako??Nitakuwa nawapa huko huko kwenye malisho
Enzi zakeDah, ila sulemani alifaidi sanaa
Ni mmojaHivi hawa watu wawili ni tofauti