radika
JF-Expert Member
- Jul 15, 2014
- 20,450
- 32,290
Wachezaji wenye hadhi ya timu kama arsenal hawazidi Zaid ya watano, wengine majanga
cech,sanchez,bellerin,ozil na Laurent Koscielny
Wachezaji wenye hadhi ya timu kama arsenal hawazidi Zaid ya watano, wengine majanga
Utani ulioje?Mustafa Hassanali Campbell mpya
![]()
![]()
![]()
![]()
.......
Wenger anadhani hii ni F.A cup![]()
![]()
xhaka kala bench wenger bana
Hahahaa....Shaka Zulu
![]()
![]()
![]()
![]()
.......
Siku hizi ArsayNO Kumejaa wachezaji laini lainiUtani ulioje?
Campbell alikuwa jemedari bhana! Wasimdhalilishe Sol Campbell bhana kwa huyo muarabu anayejifanya mujerumani
Vieira yuleyule aliyekunjana jezi na kukwatuana na Roy Keane?Wanadharau sana hawa ndezi.. Huyu mpumbav akawe viera, asubiri miaka kadhaa mbele
Mpira anajua ila ana mapungufu mengi mnoo
Messi katupia ngapi?Neema kashatupia goli la 3
Shangilieni sasa
Wanajuta kufungwa na Barca ile FainaliHapana..
Labda tuwape la makaratasi
![]()
![]()
![]()
![]()
Hasanali vipi?cech,sanchez,bellerin,ozil na Laurent Koscielny
Hahahaha ''''''''''''XHAKA''''''''''''Shaka Zulu
![]()
![]()
![]()
![]()
.......
2Messi katupia ngapi?
Poor ArsenalSiku hizi ArsayNO Kumejaa wachezaji laini laini
![]()
![]()
![]()
......
Wanajuta kufungwa na Barca ile Fainali
![]()
![]()
![]()
.....
Arsenal ile angalau walijitahidi!Wanajuta kufungwa na Barca ile Fainali
![]()
![]()
![]()
.....
Ana hat trick leo2
...
Mawili..Messi katupia ngapi?
Siku hizi ArsayNO Kumejaa wachezaji laini laini
![]()
![]()
![]()
......
Dah, ila sulemani alifaidi sanaaYapo sana tu