Makapuku Forum

Makapuku Forum

Yaan game ya umuhimu anaenda kuchezeaha kikosi cha kujaribu jaribu.. Wakat psg tunawaqeza kabaa tukiqa fulu mkoko.. Hizi akili za kumchezesha winger kuwa forward, sijui aliziokotea wapi, kimsing anampa wakat mgumj sanchez, kwa hyo tunacheza kama hatuna striker vile..
Pigaaaaaaaaaaaa
Mbwaaaaaaaaaa


.........
 
Alimuona mke wa Huria muhiti anaoga sa sijui enzi hizo hakukuwa na mabati?!!...akamtamani akazini nae...na alikuwa ni mfalme kipenzi cha Mungu...sema alitubu badae. So unaweza kuta hata mapadre wanazini kama kawa hii miili sometimes hatuwezi kuicontrol hata uwe nani hapa Duniani...
Hahahaha.......GENIUS
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom