sacajo
JF-Expert Member
- Jul 23, 2016
- 1,385
- 4,493
Mkuu kwa sisi tunaotaka kuwa mapadre ni hatariMitume sura ya ngapi vile????
Mkuu kwa sisi tunaotaka kuwa mapadre ni hatariMitume sura ya ngapi vile????
Malizia![]()
umenifurahisha mkuu......ila hapo kwenye jina umekosea....hilo jina lina maana sana sema we kwako ni genii.......nadhan me ni mtu wa kwanza kuwa na jina kama hili
Weka pichaTatizo ctaki kuukosa ufalme wa milele
Picha ya nini???Weka picha
Mi hata wasichana wananivutia tu...ila we Tetra usifikirie kwengine

KomboleraSema usivunjike moyo endelea na bidii hizoo......maana ulitaka unidake![]()
![]()
Maana ya jina lakoNi malizie nini.....![]()
![]()
![]()
sanaa.........njoo ule migebukaWanajitahidi kwakweli
Si mnakuwa na masista lknMkuu kwa sisi tunaotaka kuwa mapadre ni hatari
Maana yake ni mtu mwenye nguvuuMaana ya jina lako
Ndio......lakini hakuna mambo ya ajabu kama hayooSi mnakuwa na masista lkn
Migebuka uweke na nazi weeee shidaaaasanaa.........njoo ule migebuka
Mbona unachekaa???
Nimecheka unavyouliza picha ya nini?Mbona unachekaa???
We unapenda za wakorea?Za wakorea
Mambo ya ajabu yapi wwNdio......lakini hakuna mambo ya ajabu kama hayoo