sacajo
JF-Expert Member
- Jul 23, 2016
- 1,385
- 4,493
Labda kwenye muviiKwani wanafanyaga nn
![]()
![]()
![]()
.......
Labda kwenye muviiKwani wanafanyaga nn
![]()
![]()
![]()
.......
Hapo sawaHuyo Mzee magari naye huwa napenda Acting yake zaidi
HahahaAnasa za dunia
, hivi we jamaa,Kwani ulimreply naniNan?
Me mzma wewemh huyu jamaa sio mzima
Hivi ulikuwa unapata maswali ya matipochoisi kweli??Mmh sikufichi Bitoz hapo wote wakali
Sio kupinga bali nafuata sheria zinavyosemaHahaha![]()
![]()
, hivi we jamaa,
kwahiyo unapinga amri ya kuzaliana
Huyu kwenye multiple choice nadhani alikuwa anaandika ''BOTH''Nani zaidi
![]()
![]()
![]()
........
Kazi kwelikweliHuyu kwenye multiple choice nadhani alikuwa anaandika ''BOTH''
Kuna picha moja nimeiona sijui kama ni ya kweli imetokea huko, ntaiweka nikipewa ruhusaHapana nimefurahi tu kuona jirani zangu wamepata misaada...maana kuna watu wako kule wameniambia ilikuwa ni patashika!
Kile kingongo kimekomaa hata ukitukane kina rudi tena labda kina shida ya Likes
Uhuru katangaza mapema kutoa, wao ndio wamashituka sasa hiviNaona wahaya wamejipatia misaada hatari ya pesa TBC live kutokana na tetemeko la ardhi!!! nshomile kama nawaona vile