Sweetiepie
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 6,107
- 24,132
Interesting!Eeh hao ni Waluhya sasa aiih.. Unapatia manzi amenyoooka hana hata Budaa na hukula hyo Sembe hata kilo 3 na bado hujihisi wao ni Binadamu wa kawaida..
Eeeh hii miujiza hawa Manzi hufanya Jesus mwenyew could be Surprised






