sacajo
JF-Expert Member
- Jul 23, 2016
- 1,385
- 4,493
Kweli kabisa......Ila hii inatokana na mtu mweusi kujidharau mwenyeweHapo mzungu angesifiwa anaakili
Kweli kabisa......Ila hii inatokana na mtu mweusi kujidharau mwenyeweHapo mzungu angesifiwa anaakili
Sayansi ya mwafrika hiyo (uahirikina) inahusikaAkivunjika ndio atashika adabu
Angeonekana mpumbavuu/mjingaaMwafrika ?
........
[emoji1] [emoji1] [emoji1] lazma wangesema hivyoSayansi ya mwafrika hiyo (uahirikina) inahusika
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
.......
+ KillerzerAngeonekana mpumbavuu/mjingaa
Tena sio uchawi wa kawaida ni ule wa kiwango cha juu.....+ Killerzer
Mzungu angewekwa Guinness Book of Records
Sisi unaonekana km uchawi
........
Hahaaaaaaaa![emoji15] [emoji15] [emoji15] .......me nipe kitengo cha ulinzi......Maana bado niko na mzuka wa jeshii[emoji61] [emoji61]
Nyoosha vizuri ili uonekanee[emoji137] [emoji137]
Hapo ni mazoezi na skillsTena sio uchawi wa kawaida ni ule wa kiwango cha juu.....
Acha uchocheziYule manzi alitiki??
[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Usijali mkuu......nimeona bora kuchagua kuliko kuchaguliwa......unaweza ukachanganya madawa bureHahaaaaaaaa!
U made my day...!!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ndio nngekataaKwaiyo angekuanza ww ungekataa??
Wellcome back[emoji137] [emoji137]
Ila akifanya mwenye ngozi nyeusi hawasemi kuwa ni mazoezHapo ni mazoezi na skills
Everything is possible
........
Ishh, hivi yule sio mwana familia wa humu kweli??Acha uchochezi
[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]
Ndo mwisho apo[emoji17]Nyoosha vizuri ili uonekanee
Ulipigwa za chembe nini[emoji1] [emoji1] [emoji1]Acha uchochezi
[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]
Tuko poa kabisaMko poa makapuku wenzangu, bila shaka weekend na sikukuu ilikuwa njema