Kitombise
JF-Expert Member
- Sep 24, 2013
- 8,735
- 26,079
Mambo zangu kwa Yesu..We Kikofia uameisha
Sawa?
Mambo zako
.........
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Mambo zangu kwa Yesu..We Kikofia uameisha
Sawa?
Mambo zako
.........
Sema kunasehemu bado ni usiku wa tarehe 12.....kwahyo unaweza ukaenda kuiwahi[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Hii sikukuu itabidi irudie... Sijanywa hata soda jana
Huzitaki eeh.......ngoja tu, si tutakutana kwenye anga kama za jana..!!!Sizitaki mbichi hizi...View attachment 399298[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Wako wengi sanaaa humu, na mm ni mmoja waoKweli kabisa Mkuu......nataka nikamate wale wachochezi
Acha upuuzi wako wa kimbuziMambo zangu kwa Yesu..
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Anapigaga viroba vilivyoisha muda wa matumizi huyuAcha wenge
Virober vya asubuhi hivyo
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
.......
Nilikua Dodoma aiseUlikuwa wapi kwani
Usisahau kutujulisha kitakacho endeleaaHuzitaki eeh.......ngoja tu, si tutakutana kwenye anga kama za jana..!!!
Utanijua mimi ni nani
[emoji82] [emoji82] [emoji82] [emoji82] [emoji82] [emoji82] [emoji82] [emoji82]
Anatafuta kifoMwafrika ?
........
[emoji41] bado hangover iko kwa headAcha wenge
Virober vya asubuhi hivyo
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
.......
KaliwaAnapigaga viroba vilivyoisha muda wa matumizi huyu
[emoji15] [emoji15] [emoji15] basi jiweke tayarWako wengi sanaaa humu, na mm ni mmoja wao
Kwedraaa uko, mzee wa kuniharibia...Huzitaki eeh.......ngoja tu, si tutakutana kwenye anga kama za jana..!!!
Utanijua mimi ni nani
[emoji82] [emoji82] [emoji82] [emoji82] [emoji82] [emoji82] [emoji82] [emoji82]
Tatizo hatujiongeziSiku zote Mzungu anamtawala mwafrika ndio maana tunaambiwa Yesu ni mzungu
.......
Bamiza kichwa ukutani[emoji41] bado hangover iko kwa head
Mbona kavuka salamaAnatafuta kifo
Ndio kusema na wewe umekata shauri?Mambo zangu kwa Yesu..
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Kumbe na wewe ni mteuliwa wa mkulu?Nilikua Dodoma aise
NdioooooAcha upuuzi wako wa kimbuzi
Kwanza umeswaki?
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
...........
Nenda kapige bapa moja utakaa sawaa[emoji41] bado hangover iko kwa head