Makapuku Forum

Makapuku Forum

Mtoto mmoja alimuuliza baba yake. "Baba, hivi Mungu ni mkubwa kiasi gani?" Baba yake akatazama juu angani akaona ndege ya abiria akamuuliza mwanae "mwanangu, ile ndege ina ukubwa Gani?" Mtoto akajibu ni ndogo sana.
Basi Baba yake akamchukua hadi uwanja wa ndege walipofika karibu na ndege akamuonesha ndege akamuuliza " ile ndege ina ukubwa gani?? Mtoto akajibu "Hiyo Ndege ni Kuuuubwa sana" basi Baba yake akamwambia
..
"Mwanangu, hivyo ndivyo ilivyo kuhusu ukubwa wa Mungu, mara zote hutegemea wewe upo umbali gani ili kuona ama kujua ukubwa wake." "Ukiwa mbali na Mungu kiroho utaona Mungu ni mdogo sana, ila ukiwa karibu naye wakati wote Utamwona ni mkubwa kuliko kawaida na hakuna mfano wa kulinganisha"

Sogea karibu na M ungu Mpendwa ili uhisi uwepo na ukuu wake.
........................
Shukrani kwa ujumbe murua kabisa,

Kumbe na matozi wanaendaga kanisani hahahaaa😀😀
 
Mtoto mmoja alimuuliza baba yake. "Baba, hivi Mungu ni mkubwa kiasi gani?" Baba yake akatazama juu angani akaona ndege ya abiria akamuuliza mwanae "mwanangu, ile ndege ina ukubwa Gani?" Mtoto akajibu ni ndogo sana.
Basi Baba yake akamchukua hadi uwanja wa ndege walipofika karibu na ndege akamuonesha ndege akamuuliza " ile ndege ina ukubwa gani?? Mtoto akajibu "Hiyo Ndege ni Kuuuubwa sana" basi Baba yake akamwambia
..
"Mwanangu, hivyo ndivyo ilivyo kuhusu ukubwa wa Mungu, mara zote hutegemea wewe upo umbali gani ili kuona ama kujua ukubwa wake." "Ukiwa mbali na Mungu kiroho utaona Mungu ni mdogo sana, ila ukiwa karibu naye wakati wote Utamwona ni mkubwa kuliko kawaida na hakuna mfano wa kulinganisha"

Sogea karibu na M ungu Mpendwa ili uhisi uwepo na ukuu wake.
........................
Karibu unaokoka sasa

Mama Rwakatare apate mfuasi
 
4ea6aa36910d61f7ed935261d5c551c0.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom