Makapuku Forum

Makapuku Forum

[emoji23][emoji23][emoji23] kibubu cha zamani kinanitosha pekeyangu tu sasa nataka nichange cha pili kwa ajili ya kampani ya mpenzi... Unataka kuniambia nikiuza yale maembe yangu kule mpigi magoe mwakani haitatosha? [emoji13][emoji13][emoji13]
Wakati China nauli sio kubwa kivile utaweza shem lake bhaana!
 
Hahaa...
Salama tu, mr. Kikofia
1473597741457.jpg
badae wakuu
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Mpaka waamue wenyewe waamerica
Ni kweli naskia white house yao hadi facilities za Rais ziko totally secured sana!! mfano ile gari aliyokuwa anatembelea Obama haiwezi hata kulipuliwa imesetiwa imewekwa sensors inaweza kukwepa hata missiles automatic na ndege yake pia...mfano ile marais wao kuuawa unakuta wao wenyewe humo humo ndio wameamua unakuwa kama mpango umepangwa hali kadhalika na white house yao wakiamua ivamiwa itavamiwa.
 
Back
Top Bottom