Sweetiepie
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 6,107
- 24,132
Asante kwa kuweka na picha kabisaView attachment 398144View attachment 398145View attachment 398147
Linaitwa The Beast(mnyama)
..........
Much appreciation Bitoz!


Asante kwa kuweka na picha kabisaView attachment 398144View attachment 398145View attachment 398147
Linaitwa The Beast(mnyama)
..........


Pia kwa sisi ki bible au Quran sio vizuri kula vitu najisi.Wanasema hivyo kwasabu wengi wao ni wabudha hawana yale makatazo kwenye Quran wala Biblia
UsijaliAsante kwa kuweka na picha kabisa
Much appreciation Bitoz!![]()
Bitoz anazingua tu wakati mi nawajua mpaka wamachinga wa kariakoo wanaenda china hapo kama wanaenda g/mbotoWakati China nauli sio kubwa kivile utaweza shem lake bhaana!

Niaje kaka?Woyooo
Wachina hawana hiyo, wao kila kitu ni halaliPia kwa sisi ki bible au Quran sio vizuri kula vitu najisi.
Ndio hivyoNi kweli naskia white house yao hadi facilities za Rais ziko totally secured sana!! mfano ile gari aliyokuwa anatembelea Obama haiwezi hata kulipuliwa imesetiwa imewekwa sensors inaweza kukwepa hata missiles automatic na ndege yake pia...mfano ile marais wao kuuawa unakuta wao wenyewe humo humo ndio wameamua unakuwa kama mpango umepangwa hali kadhalika na white house yao wakiamua ivamiwa itavamiwa.
Haaaahaaaa jirani umetishaInadeal na kushughulikia raia wathibitishe kauli zao na picha.![]()
Marekani siku moja aliwandondoshea silaha nyingi sana, baadaye akaomba msamaha kuwa walikosea, jiulize je hawakuwa na mawasiliano na walengwa?Dah basi hizo mbinu za wamarekani ni hatari sana
Kama wewe ni muislam usile nyama China, wao friji za wanachanganya hadiMi nahisi hata vyombo vyao wanavyopikia tu tayari ni najisi.

Pia kwa sisi ki bible au Quran sio vizuri kula vitu najisi.
Inadili na shughuli za kiuchumi na kijamii.Ahsante Musso five, SWALI:-taasisi yako ina-deal na nini???
Angalia alivyojibu sweetiepieInadili na shughuli za kiuchumi na kijamii.
Haha.. Congoman, kuja hapa. Ujibu tuhumaNi Licongo
Lugha kwao shida
![]()
![]()
![]()
![]()
.........
I hate that.Hatari wanataka kutuletea habari zao za udini sometime wanashirikiana na magaidi huko kufanya matukio wanasingiziwa waislam.

Usijali kipenz, soon tutakwea pipa, wacha nimalzie mambo madogo.. Chagua sehem za kutalii kabisa ili tuandae bajet ya usafir wa ndani..Twenzetu passport si tunazo! kwan china nao had habari Viza?