Sweetiepie
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 6,107
- 24,132
Inadeal na kushughulikia raia wathibitishe kauli zao na picha.Ahsante Musso five, SWALI:-taasisi yako ina-deal na nini???

Inadeal na kushughulikia raia wathibitishe kauli zao na picha.Ahsante Musso five, SWALI:-taasisi yako ina-deal na nini???

Nna washkaji zangu huwa wananambia sana.umiskia kwa nani???
Aku sipo huko....hadi likizo ndo naenda.Bariadi je??
Mbonq hiyo ni kawaida...unaweza msaidia tu mleta postAsa unaniuliza mimi au mleta post?
Dah basi hizo mbinu za wamarekani ni hatari sanaHao ISIS wengi ni wazungu
Mhhhhhh hatari sasaYaani nimekutana nao ila mwenzangu amewasifia sana na akasema si mara yake ya kwanza ameshawala nchi moja ya Ulaya na aliporudi Dar aliwatafuta kwa kasi mpaka akawapata
Ushindwe!!!!!!!Ndio, Sweetiepie alinipeleka kuangalia mashindano ya uchawi kati ya wakigoma, wasumbawanga na wenyeji wa huko bariadi(gambosh)




Kigoma naona wanafunika!Ndio, Sweetiepie alinipeleka kuangalia mashindano ya uchawi kati ya wakigoma, wasumbawanga na wenyeji wa huko bariadi(gambosh)
Yupo papaa, majukumu ya hapa na palePoa, semegi yukwapi???
Tunaitreat kama Lake zone japo kuwa hakuna Ziwa.Bariadi ni lake zone??
This time anatafuta kifo
AlegeeeUshindwe!!!!!!!![]()
WoyoooYupo papaa, majukumu ya hapa na pale
Mi nahisi hata vyombo vyao wanavyopikia tu tayari ni najisi.Utakula hadi nyoka na vyura
![]()
![]()
![]()
......
Ni kweli naskia white house yao hadi facilities za Rais ziko totally secured sana!! mfano ile gari aliyokuwa anatembelea Obama haiwezi hata kulipuliwa imesetiwa imewekwa sensors inaweza kukwepa hata missiles automatic na ndege yake pia...mfano ile marais wao kuuawa unakuta wao wenyewe humo humo ndio wameamua unakuwa kama mpango umepangwa hali kadhalika na white house yao wakiamua ivamiwa itavamiwa.
Wanasema hivyo kwasabu wengi wao ni wabudha hawana yale makatazo kwenye Quran wala BibliaWachina wanasema kila kitu kilichopo Duniani ni chakula, haya ya kuambiana usile hiki ni utashi wetu tu wa kibinadamu
Ukimkuta ameandaliwa vizuri unadhani utamjua basi?![]()
![]()
![]()
konokono!!!
Ndimu pulizi.. Kichefuchefu,