Sweetiepie
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 6,107
- 24,132
Weka picha kabla sijaja kukufuta choziNjoo basi unifute chozi
Weka picha kabla sijaja kukufuta choziNjoo basi unifute chozi
Polee ni kawaida mwisho wa siku lazma mshindi awe mmojabalaa mkuu network imekata leo city kanitoa ktk mood
Sa si Man U ndo watesi wetu au...
Salama tu jirani yangu.Nzuri jirani, za kuadimika
KAPUKU'S TOP VIBES FOR THE WEEKEND; REMINISCING THE OLD MUSIC
1. Dear mama- Tupac Shakur ft Sweet Franklin and Reggie Green
2. Goodbye- Celine Dion
3. See you when you get there- Coolio
4. I want to know what love is- Foreigner
5. Time after time- Cindy lauper
6. The end of the road- Boys to men
7. La Isla Bonita- Madonna
8. Step in the name of love- R.Kelly
9. Sweetest Girl- Wycleff Jean ft Lil Wayne and Akon
10. When i come home- Morgan Heritage
11. Hate it or love it- 50 Cent ft The game
12. I want to know what love is- Mariah Carey
13. Affairs of the heart- Damian Marley
CC: briz , makaveli10 , Jimena , Sweetiepie , shululu
Sema tu kijana, inaweza ikawa hardware mtu yko nondo kwenye software.. Sema waz kama mtu anaweza akuelekeze na faida kwa wengine... Sheikh jumaaWhtsaap![]()
Nimeona Kuna Jamaa kakutolea povu, kuwa yeye hafuati historiaile ya kidhungu mkuu sijui maana yake haya mambo ya kukop balaa
Habari zenu naomba mniwie radhi kapukuz wenzangu, leo nimeshindwa kuwaletea Old is ever Gold...ni kutokana na sababu zilizokuwa nje ya uwezo wangu...ila nimefurahi Cobblepots kwa namna moja au nyingine alicover Oldies...kwa hivyo basi nitawaletea kesho ntafidia na leo. Asanteni nimewamiss na nawapenda wote. Weekend njema
![]()

Good Girl, thank you🙂Ni Explicit, thank you.
Bariadi hapoSumbawanga panahusika na huu ungo
Ok mkuu!! Pamoja sana!!Yaani ilikuwa ni more than ku enjoy since napenda Crime issues....nikaanza kuangalia na zingine nyingi nyingi.
Weka picha kabla sijaja kukufuta chozi
Tenx...Leo kazi ni moja tu, afe mbuzi, afe mmasai, City lazma afe

Malaya KeliSiku zote huwa unanikosha mkuu.. Ila hapa umenikosha na kunisuhuza kabisa...
Dear mama.. Bonge la nyimbo, ndio nyimbo yangu bora maisha yangu yote..
Hate it o love it.. The game na 50 kwenye ubora wao..
La isla bonita.. Malkia wa pop mwenyewe
Affairs of the heart... Darmian marley.. Like father like son..
I wanna knw wht love iz.. "Malaya" carey
Shukran mkuu kwa vitu adimu


Naona unanitafuta wewe!!Bariadi hapo

Mia mkuuOk mkuu!! Pamoja sana!!
Haya poyee mwaya wee
Maana wengine tuna mama tu ndio jicho hilo..Dear mama... Kweli mkuu.


