Makapuku Forum

Makapuku Forum

1473529933581.jpg
 
Kuna kijana mmoja alikuwa anaitwa Shivo...katika shule Yao hakuna alie kuwa anampenda, si wanafunzi wenzake wala walimu na hasa mwalimu wake wa darasa. Siku moja mamake alienda shuleni kufatilia maendeleo yake. Mwalimu akamwambia tangu aanze kufundisha hajawahi kufundisha kilazia kama Shivo....

Mama yake akamwamisha shule nakumpeleka mjini kabisa......miaka 25 badae yule mwalimu alikua anaumwa na njia yakumsaidia ilikua lazima afanyiwe operation. Ya moyo na Dr. pekee ni mmoja anae fanya kazi hiyo ya operation .......

Mwalimu alifanyiwa operation vizuri na alipozinduka akamuona Dr akitabasamu mbele yake ...gafla Dr alishanga kuanza kuona mwalimu akidadilika gafla na mwisho kukataa roho ......yule Dr katika kuangalia nini chanzo na mwalimu kufaliki akamuona shivo alie kuwa mfagiaji hospital hapo ...akichomoa waya wa oxygen nakuchomeka simu yake chaji.....

Kama ulifikiriii SHIVO ni Dr. na wewe ni kilazaaaaaa
 
Nilitaka kujibu, japo hakuna swali....ila nimeahirisha kwasababu umemalizia na kutuita vi*****

kama usipoelewa hapa wewe ni kilazaa kwa herufi kubwa

Similar Discussions

Back
Top Bottom