Makapuku Forum

Makapuku Forum

Manchester united ushindi ni lazima kesho
1473443527641.jpg
 
KAPUKU'S TOP VIBES FOR THE WEEKEND; REMINISCING THE OLD MUSIC

1. Dear mama- Tupac Shakur ft Sweet Franklin and Reggie Green


2. Goodbye- Celine Dion


3. See you when you get there- Coolio


4. I want to know what love is- Foreigner


5. Time after time- Cindy lauper


6. The end of the road- Boys to men


7. La Isla Bonita- Madonna


8. Step in the name of love- R.Kelly


9. Sweetest Girl- Wycleff Jean ft Lil Wayne and Akon


10. When i come home- Morgan Heritage


11. Hate it or love it- 50 Cent ft The game


12. I want to know what love is- Mariah Carey


13. Affairs of the heart- Damian Marley



CC: briz , makaveli10 , Jimena , Sweetiepie , shululu




 
Uprofesa wa kuulazimisha huu.. Mwishowe wanakuwa machizi
Yeye ni profesa wa uchumi. Hapa yupo kwenye siasa. Uprofesa wake unahusikaje? Naona kama vile tunachanganya mambo. Angekuwa anaboronga kwenye mambo ya uchumi hapo ndiyo tungeulaumu uprofesa wake. Siasa hazina nidhamu, heshima wala hadhi kiasi cha kuwa tunarejelea usomi wa mtu - hasa hizi siasa uchwara za Bongo zinazobadilika badilika kila kuchao. Kwa hili tunaongozwa na mihemko yetu ya kiitikadi na kumhukumu huyu Prof bila sababu ya msingi.

Kama unabisha nitajie mwanasiasa msomi ambaye anatumia usomi wake ipasavyo. Ukileta usomi wako kwenye siasa hufiki popote ndo maana unamkuta Prof. mzima anagonga meza kwa nguvu na kutoa "ndiyooo" ya kufa mtu wakati anajua kabisa kuwa hilo jambo analolipigia kura ya "ndiyooo" lina madhara na halikubaliki kabisa katika taaluma yake. Siasa haina taaluma!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom