Werrason
JF-Expert Member
- Nov 5, 2014
- 13,516
- 40,625
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Ibra hoi
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Ibra hoi
Hivi ushindi wa city unakuhusuje kwa mfano??Chezea city wew
Adui yako muombee njaaHivi ushindi wa city unakuhusuje kwa mfano??
Maana nijuavyo mimi wala haina undugu na asen8
Mbona sijaiona hiyo mbeleko??? Tulieni dawa iwaingie[emoji23]City wanabebwa sana
Hamna loloteMbona sijaiona hiyo mbeleko??? Tulieni dawa iwaingie[emoji23]
Wakumbushe[emoji23]Kumbuka pale ni old Trafford
Hapa nilikuelewa vizuri, japo statistics za half time hukuwekaTumezidiwa lakini kipindi cha pili mambo ya naweza kubadilika
City wanateleza aisee km kambale
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
.........
....[emoji23] angecheza wangeshinda[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Ila kwa pogba mliliwa sana
Weeeh tulia dokita afanye yake[emoji23]Hivi ushindi wa city unakuhusuje kwa mfano??
Maana nijuavyo mimi wala haina undugu na asen8
Weeeh shusha nguo uchomwe sindano[emoji23]Hamna lolote
[emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji31]Weeeh tulia dokita afanye yake[emoji23]
Mpaka Rio imemuumiza sana hii gameYanga itafanya yake, na Madrid vile vile
Tnmefungwa kihalali ile ni ligi cha msingi tujipange upyaBitoz wewe ulitakiwa ukae ulaya na si Africa,sababu wewe ni mkweli