Hawajaliwa bhana.. Mbona ni mchezaji mzur tu, ukifatlia movements zake uwanjani..Ila kwa pogba mliliwa sana
EtiHivi ushindi wa city unakuhusuje kwa mfano??
Maana nijuavyo mimi wala haina undugu na asen8
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mbona sijaiona hiyo mbeleko??? Tulieni dawa iwaingie[emoji23]
Kwanza hajui biashara ya wachezaji Pogba tayari kaiingizia United faida kwa mauzp ya jeziHawajaliwa bhana.. Mbona ni mchezaji mzur tu, ukifatlia movements zake uwanjani..
Saana.. Mashetan wakishinda au arsenal ikifungwa tabu tupu.. Mtu hajakupigia simu wala tafadhali nipunguzie salio, mwaka wa 6, lakn man u wakishinda game kubwa simu zinaingia..Mtaani leo kutatulia sana[emoji23]
Duh.. West Ham zimerud zote.. [emoji23] [emoji23]
Huyu tambwe, analijua sana goli..
Nahisi kaongea kiunazi zaid..Kwanza hajui biashara ya wachezaji Pogba tayari kaiingizia United faida kwa mauzp ya jezi
Sasa sijui nani kaliwa
........
Jonax Kuja hapa
Leo kachemsha sanaHawajaliwa bhana.. Mbona ni mchezaji mzur tu, ukifatlia movements zake uwanjani..
Pole joseeeeView attachment 397669[emoji37] [emoji37] [emoji37] [emoji37] [emoji37]
Nikifungwa Man U huwa naenda kujipoza na Real MadridPole joseeee