AmeenItabidi tupewe umod...Nilipojiunga Jf niliusoma kwanza mchezo zen nikaanza kutoa thread na KUTUKANWA SANA lkn sikutukana mtu ...sasa hivi sina hata shida ya kuanzisha thread hii tayari ni FUNIKA BOVU labda tu siku nijisikie...watajutia jinsi walivyokuwa wanatudhsrau
Sijawahi kula BAN
...................................................
Huu ni ushindi kwa Makapuku wote
........................................................
GOD BLESS KAPUKUZ
.....................
Raha sananamtaka Linamo wangu
Nikiwa na wewe matatizo nasahau
Baridi kushney kwa jinsi mlivyonitesa wewe, Manuu na Aggyjay Weeeee nisingevumilia nimepasha motooAsante mkuu,nyota yangu bado haijachafuliwa.
Vipi lakini baridi bado tu.?
Wapo kwenye maombiSio kwa kutetea na kulindana huku
lazima nikutee dadaAsanteeee
Mi mtu wa siasa zaidi.....sema nimekuwa viewer zaidi. Nyuzi za sports ndio zina replies nyingi but zimekuwa attained kwa muda mrefu. But huu wa makapuku kwa muda mfupi naona umeweka recordExactly yes.....
But ni kwa my side.cjui wewe
Usije tu ukapata InsomniaLeo sidhani, ule usingizi wa jana bado ninao mpaka sasa
Hahahanikiambiwa niue kati ya huyuau DAMU CHANGA yani young namwangamiza vibaya kwa blood
Mimi nimeoga ila nimeogaje? Usiulize jibu ninalo Mwenyewe...
Mi nna PINGAMIZI...... mnaoana vipi mie wifi mtu sijui??TANGAZO
KWA MARA YA KWANZA TUNATOA TANGAZO LA NDOA YA BWANA MANUU NA BI AMAIZING
MWENYE PINGAMIZI AKAENALO MOYONI
Asante my love! Nazidi kukupenda.Nikiwa na wewe matatizo nasahau
Kwa washika dau pesa zao dharau
Hakuna kama wewe toka mwanzo mpaka now
Niko mimi na wewe
Huna mpango nao
Mapenzi unayonipa
Yaani Mpaka najiuliza
Hivi umenizaa
Maana nakufa kabisa
Uzuri wako uzuri wako
Asante sana, nimeshakaribia
HongeraBaridi kushney kwa jinsi mlivyonitesa wewe, Manuu na Aggyjay Weeeee nisingevumilia nimepasha motoo
Watu humu balaa....Nikiwa na wewe matatizo nasahau
Kwa washika dau pesa zao dharau
Hakuna kama wewe toka mwanzo mpaka now
Niko mimi na wewe
Huna mpango nao
Mapenzi unayonipa
Yaani Mpaka najiuliza
Hivi umenizaa
Maana nakufa kabisa
Uzuri wako uzuri wako