amaizing
JF-Expert Member
- May 3, 2013
- 3,616
- 12,398
AsanteeeeNdoa lazima iwepo maana nimepigania sana mpaka wamekuwa pamoja
AsanteeeeNdoa lazima iwepo maana nimepigania sana mpaka wamekuwa pamoja
Nafikiri ule wa **wa mwisho ndiyo mshindi**Kwasasa Makapuku ndio habari ya mjini....
Hivi uzi gani ndio wenye replies nyingi zaidi hapa JF???
Hongera sana kwa mwekundu wa msimbaziIyooo
Hakuna kama makapuku jfKwasasa Makapuku ndio habari ya mjini....
Hivi uzi gani ndio wenye replies nyingi zaidi hapa JF???
jimeee...Kwasasa Makapuku ndio habari ya mjini....
Hivi uzi gani ndio wenye replies nyingi zaidi hapa JF???
Cc Jimenamida mida tena waungwani ...
Asanteni kwa like zenu nyingi ...
Tukutane tena saa tano kwa wale popoz hadi kuchee ..
MANDELAA KIWELU
Waoo....! Kwa kunijali tu hujambo, ndo maana nilikupenda na kukuchagua uwe malkia wa moyo wangu. Nakuja niwekee mezani hapo.ndio honey..Wali wa nazi na samaki wa kuungwa kwa nazi..Karibu
Ha haaa.... Haya.Manuu kachukua maujanja kwa jambilo
Ya kweli haya?Hakuna kama makapuku jf
Ngoja tuipeleke hadi 11,000.....mapumziko memamida mida tena waungwani ...
Asanteni kwa like zenu nyingi ...
Tukutane tena saa tano kwa wale popoz hadi kuchee ..
MANDELAA KIWELU
🙂🙂🙂🙂🙂Waoo....! Kwa kunijali tu hujambo, ndo maana nilikupenda na kukuchagua uwe malkia wa moyo wangu. Nakuja niwekee mezani hapo.
Exactly yes.....Ya kweli haya?
Mi badokama kuna mtu leo sijampa like anyooshe mkono jamani

Asante mkuu,nyota yangu bado haijachafuliwa.Hongera sana kwa mwekundu wa msimbazi
hawatowezana yy yupo prayer room kwa Jambilo
Weeee sammoo prayer room yupo manuu peke ake..jambilo yupo humu ndanna yy yupo prayer room kwa Jambilo