amaizing
JF-Expert Member
- May 3, 2013
- 3,616
- 12,398
Asante wifiMi nna PINGAMIZI...... mnaoana vipi mie wifi mtu sijui??
Haya nimeridhia muoane tu maana hakuna namna nyingine
Hakuna namna ...lazima tufunge pingu za maisha

Asante wifiMi nna PINGAMIZI...... mnaoana vipi mie wifi mtu sijui??
Haya nimeridhia muoane tu maana hakuna namna nyingine

Aaah wapiIvi mlifikia wapi na bi faiza mchana.. Mta badili jina la kapuku
sema chochoteHahahaha hata sijui niseme nini
Hahaa utakuwa umeoga miguu peke yakeMimi nimeoga ila nimeogaje? Usiulize jibu ninalo Mwenyewe....
Asanteeeee ,vipi nawe baridi bado Lipo?Hongera
Passport sizeMimi nimeoga ila nimeogaje? Usiulize jibu ninalo Mwenyewe....
HahaahahaHahaa utakuwa umeoga miguu peke yake
Si umeshaoga baby wangu.Hahahaha hata sijui niseme nini
Nakupenda pia mpenziAsante my love! Nazidi kukupenda.
Mtoto Nahrene yupo hapa anafanya mambo yake.Asanteeeee ,vipi nawe baridi bado Lipo?
Hahahhaha Kumbe ndivyo huwa unaoga eeeehh!!!......umeitaja siri yako.Passport size
Si kitotoWatu humu balaa....
Hahaha naomba iwe siri usimwambie mtuHahahhaha Kumbe ndivyo huwa unaoga eeeehh!!!......umeitaja siri yako.
Ndio baby wanguSi umeshaoga baby wangu.
Usijali wengine hawajasikia...Hahaha naomba iwe siri usimwambie mtu
Sio rahisi, jana nilikomaa tu japo haikuwa rahisiUsije tu ukapata Insomnia![]()
![]()
![]()