Kitombise
JF-Expert Member
- Sep 24, 2013
- 8,651
- 25,843
UmerudieeeMchana ulinipa za uso balaa... Saivi aaaaaa... Ndo matunda hayo
ThanxxxxBest wishes
Baki njia kuu kijana... OoohoooooUmerudieee
Mimi ndo mtoa vibaliTANGAZO
KWA MARA YA KWANZA TUNATOA TANGAZO LA NDOA YA BWANA MANUU NA BI AMAIZING
MWENYE PINGAMIZI AKAENALO MOYONI
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Show love mama maisha yenyewe mafupiWifi najitahid kushow love kwa kaka ako
Sawa presidaaaaMimi ndo mtoa vibali
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
............................
Hujampata mpaka sasa?ngoja niweke Like nipite kimya kimya
![]()
![]()
![]()
Kuzeeka bado sana wifi!We yako subiri hadi Lizzie azeeke acha kaka yangu ajilie vinono.![]()
![]()
![]()
AmekimbiaIvi mlifikia wapi na bi faiza mchana.. Mta badili jina la kapuku
Ataanzaje kukataa sasa?Sawa presidaaaa
Ila unaruhusu hii ndoa ifungwe???
subiri kwanza nimalizie kuwaua hawa mateka 200 hapa Mabwepande, alafu nitarudi muda siyo mrefu![]()
![]()
![]()
karibu umsalime shemeji yako.
Ndio ni wew kuna jamaa alitoa onyo kuwa watu wakae mbali naweMimi???
Mshawishi bro mfunge ndoaKuzeeka bado sana wifi!
Anajenga kwanza nyumbaMshawishi bro mfunge ndoa