Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,100
AmeenItabidi tupewe umod...Nilipojiunga Jf niliusoma kwanza mchezo zen nikaanza kutoa thread na KUTUKANWA SANA lkn sikutukana mtu ...sasa hivi sina hata shida ya kuanzisha thread hii tayari ni FUNIKA BOVU labda tu siku nijisikie...watajutia jinsi walivyokuwa wanatudhsrau
Sijawahi kula BAN
...................................................
Huu ni ushindi kwa Makapuku wote
........................................................
![]()
![]()
GOD BLESS KAPUKUZ
.....................

au DAMU CHANGA yani young namwangamiza vibaya kwa blood
.
