Nahrene
JF-Expert Member
- Jan 18, 2016
- 938
- 2,908
Hapana, siwezi kubadilishana na mtuNiachie P wangu nahrene au tubadilishane?
Hapana, siwezi kubadilishana na mtuNiachie P wangu nahrene au tubadilishane?
Hii couple haina afya kabisa[emoji173] [emoji173] [emoji173] [emoji173]
[emoji131][emoji173] [emoji173] [emoji173] [emoji173]
abee honeyBaby wangu aggyjay
Mume tulia tafadhali huioni mvua?kwanini huniamini mke wangu
Love you [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]Nakuamini lakini nataka nijiridhishe tu.
Mbona mapemaTANGAZO
KWA MARA YA KWANZA TUNATOA TANGAZO LA NDOA YA BWANA MANUU NA BI AMAIZING
MWENYE PINGAMIZI AKAENALO MOYONI
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Anasheherekea ushindi wa kukupataTuko pamoja wifi angu
Kaka ako kakimbia
Mzima... Nakuona nawewe uko poa na young wako...Mzima? [emoji5]
afadhali umemjia bwanako..Ni kipanga hafai huyuUtulie uache michepuko
Thanks bae love you sana[emoji173] [emoji173] [emoji173] [emoji173]Love you [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]
Basi niachie P wangu[emoji5] [emoji5]Hapana, siwezi kubadilishana na mtu
Ngoja ngoja huumiza matumbo[emoji12]Mbona mapema
Tunajidai tu hapaMzima... Nakuona nawewe uko poa na young wako...
Duh penzi motomoto liko on fire[emoji91] [emoji91] [emoji91]TANGAZO
KWA MARA YA KWANZA TUNATOA TANGAZO LA NDOA YA BWANA MANUU NA BI AMAIZING
MWENYE PINGAMIZI AKAENALO MOYONI
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Best wishesNgoja ngoja huumiza matumbo[emoji12]
We yako subiri hadi Lizzie azeeke acha kaka yangu ajilie vinono.[emoji1] [emoji1] [emoji1]Mbona mapema
Wifi najitahid kushow love kwa kaka akoDuh penzi motomoto liko on fire[emoji91] [emoji91] [emoji91]