Hatuja pinga ila kuna taratibu hazikufatwa na nyingine zilikiukwa.
Nikiwa kama katibu Wa mahusiano humu kaupku forum kwa mamlaka niliyonayo nimetangaza kuifuta
Hivvyo Basi kapuku wote.muwe wavumilivu paka itakapo tangazwa tena.
Signature
Sumbai Jecha
Katibu Wa mahusioano,kapuku forum