Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,265
Mbona leo wajificha ficha mkuu😀😀😀😀😀😀😀😀😀
Mbona leo wajificha ficha mkuu😀😀😀😀😀😀😀😀😀
HahaaaHa haaa sasa Haata kabla sijaulizaa.....
Subiri kamati imjadili kwanza shemeji alafu tukupe jibu.
Duhhivo vingne mimi nipo nitamsaidia usijali
Yaaan ni salama moyoni mwanguVipi si wajisikia amani kwa ajili ya manuu eee!
Shemdalring hujambo.Aiiiii weweeee punguza kidogo wenzako huku hali mbaya......
Wewe utapagawa.Mwanamke akiwa na kitambi havutii kitu namba 8 huku kafungashia wacha mimi hapa hunitoi
Na Leo kabla ya 20:30 tunafikisha post 10000 view ndo kubwa zaidi.Makapuku Forum ndio thread yenye mafanikio zaid toka JF kuanzishwa kwake kwani ndani ya siku 6 imekuwa na view 68k na comment 9k hii haijawai tokea JF hvyo ni Jambo la kujipongeza makapuku kwa ushirikiano wetu
i love u so much baeYes baby am here waiting for you bae![]()
![]()
![]()

Oooh atukuzwe aliye Juu [El yon]Yaaan ni salama moyoni mwangu
Wa afya mkuu Nafurahi kuwa pamoja na MakapukuPnc mzima!
Hii kitu ni balaa, hata invisible na moderator wanatamani kuchangia lakini wanavunga tu.Makapuku Forum ndio thread yenye mafanikio zaid toka JF kuanzishwa kwake kwani ndani ya siku 6 imekuwa na view 68k na comment 9k hii haijawai tokea JF hvyo ni Jambo la kujipongeza makapuku kwa ushirikiano wetu
Hahahaaa nawe una machooNani mkuu Jimena au
nipo mkuu..Mbona leo wajificha ficha mkuu
ha ha ha ha ha umeua mkuuHii kitu ni balaa, hata invisible na moderator wanatamani kuchangia lakini wanavunga tu.
Ni kweli mkuuNa Leo kabla ya 20:30 tunafikisha post 10000 view ndo kubwa zaidi.
Kujipongeza muhimu sana Leo maana weekend ndo imeanza hivyo
Kumbee inabidi afanye mazoeziHa haaa.. Jimena anakitambii...balaaa...cha bia......
Yupo wapi ibra87 youngblood damtanzania Th Name EMMYGUY tukae....Hahaaa
Kupenda kubaya
Sawa mpendwa ila maamuz yazingatie vigezo na masharti