Usijal mdogo anguJamani dada, tunafanikisha ya kwako kwanza
Big sis mbona hapo sionekani. Ujue mie ndo niliyemtafuta wifiHa haaa.... Hiyo ndoa imeshapingwaaa....
Kapuku forum
S.l.p 290
Jotro CTY
Yah. Kukataa ndoa ndoa ya manuu na amaizing
Na kikao halali kabisaa
Wajumbe Wa kikao
1.sumbai
2.ibra87
3. Mzeee mshana
4damtanzania
5. Deokimaro
Kwa sauti moja wamesema ndoa iahilishwe.
Signature
Sumbai.
Katibu Wa mahusiano.
Kapuku forum.
Imepitishwa na
Bitoz
Jimena
Th Name

Hahahaa ni watu wawili tofauti hao,Kuna jamaa alikuwa anarusha ndoano kwako ulikuwa mkali but sasa naona mnaongea lugha lainii
Asante sanaTh name hongeraaaa
Naona mapenzi yanakuendesha,unatumia kichwa cha chini kufikiri.am gonna kill some one after 10 minute![]()
Weka mambo wazi tujiandae kwa michango na kama kunaaluweluwe sema tukuombeeTutayaongea tu, mambo mazuri hayataki haraka
We ndo mkubwa unaanza, na mimi ntafuataUsijal mdogo angu
Nachochea ili yangu ikiisha tukamilisha yako
Ha haaa.... Hiyo ndoa imeshapingwaaa....
Kapuku forum
S.l.p 290
Jotro CTY
Yah. Kukataa ndoa ndoa ya manuu na amaizing
Na kikao halali kabisaa
Wajumbe Wa kikao
1.sumbai
2.ibra87
3. Mzeee mshana
4damtanzania
5. Deokimaro
Kwa sauti moja wamesema ndoa iahilishwe.
Signature
Sumbai.
Katibu Wa mahusiano.
Kapuku forum.
Imepitishwa na
Bitoz
Jimena
Th Name
Usituombee mabaya shemeji.ukimchunguza bata hutomla
damu changa jiandae kibuti kinakuhusu soon or later![]()
![]()
haya ni mpenz wangu 🙂Sema ni mpenzi wangu bhana waogopa nin kama wpenda?
ngoja niset chaga freshNakuandalia msosi bae. Ujue leo itakuwa hatari sana
Sana mkuu,watu wanasambaza upendokasi ya kugawa mapendo naona imeongezeka na mvua hii
Wifi ndugu zangu wanataka kupinga ndoaBig sis mbona hapo sionekani. Ujue mie ndo niliyemtafuta wifi![]()
![]()
![]()
Jonax na youngblood tulieni vijana wangu, shetani ashindwe amani itwale alaaa!!!Naona mapenzi yanakuendesha,unatumia kichwa cha chini kufikiri.
am gonna kill some one after 10 minute![]()
tufurahi honey wangu maana weekend ndo imeanza hivyo.Nakuja hubby!
wawili tu mpenzidada huyo bwana ni masaa mangapi tangu umkubalie anatangaza ndoa??anataka kuvunja recod???Usijal mdogo angu
Nachochea ili yangu ikiisha tukamilisha yako
AmenJonax na youngblood tulieni vijana wangu, shetani ashindwe amani itwale alaaa!!!
hapana mke me jembeKumbe wewe kipangaeeee