Makapuku Forum

Makapuku Forum

Ha haaa.... Hiyo ndoa imeshapingwaaa....

Kapuku forum
S.l.p 290
Jotro CTY
Yah. Kukataa ndoa ndoa ya manuu na amaizing

Na kikao halali kabisaa
Wajumbe Wa kikao

1.sumbai
2.ibra87
3. Mzeee mshana
4damtanzania
5. Deokimaro



Kwa sauti moja wamesema ndoa iahilishwe.


Signature
Sumbai.

Katibu Wa mahusiano.
Kapuku forum.



Imepitishwa na

Bitoz
Jimena
Th Name
Umetisha
...............
 
Weee......... Unataka World War 3 ianze au??
213478f90c9e3e31005375b7bfc88e20.jpg


.................
 

Najimaliza mwenyewe

Hii sio haki kabisa..mnapinga ndoa bila maelezo..huu uonezi
Hatuja pinga ila kuna taratibu hazikufatwa na nyingine zilikiukwa.

Nikiwa kama katibu Wa mahusiano humu kaupku forum kwa mamlaka niliyonayo nimetangaza kuifuta

Hivvyo Basi kapuku wote.muwe wavumilivu paka itakapo tangazwa tena.



Signature

Sumbai Jecha

Katibu Wa mahusioano,kapuku forum
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom