Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,100
UlikopewaKwani nilikopa?
..........
UlikopewaKwani nilikopa?
..........
Sijawahi, cheki video ya pinki, half nikakosa vituko..1979 - Pink anazaliwa.
Ni mtunzi wa nyimbo pamoja na muigizaji toka nchini Marekani.
HahahahahahahahaWa juma necha hakuna kulala
Nimeamka vibayaaaaaaaaaMorng cwr"p". Umeamkaje!!
Aahh.. Sana, alikuwa ni pupil wa special classInaonyesha hata darasan ilikuwa inshu kumuelewa ticha
Haiwezekan ukeshe unaongea mwenyewe humu usiku usikuHuu ni uchokonozi sasa
Heeee unaikana kauli yako??....au ulikuwa unaota!!!!Hee. Wapi nimesema nataka utamuu???





CC: JiraniSikujuaaa
You tube low qualitySio Cd....nimeangalia jana yote Youtube 2GB inatosha na kubaki

Wewe hukusoma Kiswahili?? Kichuna sio mchunaji ni mtu mwenye jina ka lako





Wananchi wenye misimamo yao haoLeo katika Historia:
1974 - Rais Gerald Ford anapitisha sheria ya kutomshtaki kwa kosa lolote lile mtangulizi wake, Rais Richard Nixon aliyejiuzulu kwa skendo ya " Watergate Scandal "
Jambo hilo la kumlinda Rais mwenzie liliwaudhi Wamarekani wengi na kuamua kumuangusha Rais Ford kwenye uchaguzi uliofata.
Nimeanza kuombaaaaMorng ndugu zangu.. Muwe na siku njema. Tuombeane dua kwa kweli..
Kumbe khalifa ni wa hapo tu kwa kina wai klif jin.. Ila huyu hayuko proud na taifa lake1987 - Wiz Khalifa anazaliwa.
Ni mwanamuziki kutoka nchini Haiti.
We mkorofi kha!!!Ndo nishakuita sasa
Hapa mussolin 5 nadhani aliamka kwenda haja ndogo...akagonga like yake.


tangu juzi usiku ananiangalia kwa jicho baya. Sijui nilimkosea nini hataNawe pia!Napenda kutuma Salam kwa MAKAPUKU wote humu JF na nawaombea Mungu muwe na siku njema!
Asante sana mkuu mussolin, kwa udhamini wa nimevutwaa, nimecheka sana asubuhi subuhi






Sa umecheka akat ilikuwa juz...jiran bhaaanaAsante sana mkuu mussolin, kwa udhamini wa nimevutwaa, nimecheka sana asubuhi subuhi



Kumbe alikuwa analiwa...1969 - Gary Speed anazaliwa.
Ni mchezaji wa zamani wa Newcastle na timu ya ya taifa ua Wales.
Alijiua kwa kashfa za ushoga.