Tetramelyz
JF-Expert Member
- Apr 25, 2014
- 4,369
- 12,469
Mie si ndio nakwambia.. Huyo mtoto ni wa mitishamba na manyanga kwa wingi


mimi simoMie si ndio nakwambia.. Huyo mtoto ni wa mitishamba na manyanga kwa wingi


mimi simoHappy Birthday Pink1979 - Pink anazaliwa.
Ni mtunzi wa nyimbo pamoja na muigizaji toka nchini Marekani.
Yuko na goma lake
Hhmm.. Yngu macho tuMi simuelewi huyu ni kivuruge bby
Nzuri sanaMorning, za wewe jirani
Happy Birthday Carlos1986 - Carlos Bacca anazaliwa.
Ni mchezaji wa zamani wa Sevilla ambapo kwasasa anakipiga Ac Milan ya Italy.
Pia ni mchezaji wa timu ya taifa ya Colombia.
Crazy1987 - Wiz Khalifa anazaliwa.
Ni mwanamuziki kutoka nchini Haiti.

Sasa si ataota??Jiran tafuta movie inaitwa "Constantine" inatishaaaaaaaaaaaa
I appreciate this man.And he himself choose those good for nothing principles!!!!!
Shukran.. Vip we umeamka salama..Lala salama
Amani iwe nawe. Sitarudia tenaHalafu naomba uache tabia ya kuchafua uzi
Ustaarabu muhimu ndugu siyo kujaza mareply bila .pango
Ulichofanya jana sio uungwana
Peace
........
.
Asante sana bapari wetu kwa historiaLeo katika Historia:
Kwa udhamini mnono wa Sweetipie aka Nimevutwaa, tukutane tena kesho.
Byee....
Jiran yangu itabid tumbatize jina jingineShululu ni mwanamme bhaana!!!
Yule jamaa ni mchocheziHebu Shangaa
Morng, how is wewe..Morning everyone!!!!!![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Mi ndo namsikia leoJamaa alikuwa anajua, hakuwa na bahati tu
Mkuu ustaarabu ni kitu muhimuAmani iwe nawe. Sitarudia tena
Nilipenda soka yake
Pole sana kamanda. Nitazifuta zote nikipata mudaSaidia kumuelewesha huyo mchafua uzi au hujaona alichofanya ?
Reply 100 mfululizo za kujisemeshasemesha
Ni usumbufu na kuharibu uzi
.........................................