Sweetiepie
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 6,107
- 24,132
Hapa mussolin 5 nadhani aliamka kwenda haja ndogo...akagonga like yake






.Hapa mussolin 5 nadhani aliamka kwenda haja ndogo...akagonga like yake






.


Leo katika Historia:
1974 - Rais Gerald Ford anapitisha sheria ya kutomshtaki kwa kosa lolote lile mtangulizi wake, Rais Richard Nixon aliyejiuzulu kwa skendo ya " Watergate Scandal "
Jambo hilo la kumlinda Rais mwenzie liliwaudhi Wamarekani wengi na kuamua kumuangusha Rais Ford kwenye uchaguzi uliofata.
1991 - Jamjuri ya Macedonia yajipatia Uhuru wake toka kwa USSR.
1969 - Gary Speed anazaliwa.
Ni mchezaji wa zamani wa Newcastle na timu ya ya taifa ua Wales.
Alijiua kwa kashfa za ushoga.
1979 - Pink anazaliwa.
Ni mtunzi wa nyimbo pamoja na muigizaji toka nchini Marekani.
1981 - Morten Gamst Pedersen anazaliwa.
Mchezaji wa zamani wa Blackburn Rovers na timu ya taifa ya Norway.
Sio aamke salamaLala salama
Hebu Shangaawatu wamepiga 100k na zaid ye anasema 1k??
Asante sana mkuu mussolin, kwa udhamini wa nimevutwaa, nimecheka sana asubuhi subuhiLeo katika Historia:
Kwa udhamini mnono wa Sweetipie aka Nimevutwaa, tukutane tena kesho.
Byee....
1986 - Carlos Bacca anazaliwa.
Ni mchezaji wa zamani wa Sevilla ambapo kwasasa anakipiga Ac Milan ya Italy.
Pia ni mchezaji wa timu ya taifa ya Colombia.
Jamaa alikuwa anajua, hakuwa na bahati tu1969 - Gary Speed anazaliwa.
Ni mchezaji wa zamani wa Newcastle na timu ya ya taifa ua Wales.
Alijiua kwa kashfa za ushoga.
1986 - Joao Moutinho anazaliwa.
Mchezaji wa Monaco na timu ya taifa ya Ureno.
Hapo vp, Macedonia walikuwa kwa USSR1991 - Jamjuri ya Macedonia yajipatia Uhuru wake toka kwa USSR.
1987 - Wiz Khalifa anazaliwa.
Ni mwanamuziki kutoka nchini Haiti.
Morning, za wewe jiraniMoring my jirani
1989 - Gylfi Sigurdsson anazaliwa.
Ni mchezaji wa Swansea City na timu ya taifa ya Iceland.
Ni mahiri sana katika kupiga mipira ya adhabu.
Mie si ndio nakwambia.. Huyo mtoto ni wa mitishamba na manyanga kwa wingiUna utani wa ngumi wewe![]()
Hahaa...Poa kamanda... Ukichelewa kuamka utakuta tupo 200.002k
mkuu hiyo 100k yako si laki moja? Chunguza vzuri wachangiaji wa thread hii je wamefika makumi, mamia, maelfu au malaki?
sigara ndogo hiz za kuvutia maskan, zimekuvuruga mkuu... Tizama post ya jimena ilikuwa ni ya ngapi!!?