Tetramelyz
JF-Expert Member
- Apr 25, 2014
- 4,369
- 12,469
Dahhhh
Mi yanga Simba hapana asante.Kumbe we yanga mi simba ati
Hamna bhana...Yanga hua wanaigopa ndanda
Moring my jiraniPoa, nafanyia kazi ushauri wako
Aaaah....Simba kashinda
Ni kweli lakinSare ugenini siyo mbaya
Huwezi shinda kila siku ndio maana ya ligi mwishoni mwenye point nyingi ndo bingwa
..........
Sasa wanalalama nini kwan uongo!!???Hahaaaa marekani wanalalama sana baada ya lutete kumwita obama mtoto wa kahaba



NyoooooooLeo tumelipizia kwa ndugu zao ati
Ndanda ni hatari sana weka mbali na yanga![]()
![]()
Ushamba wa wazi kabisaaaaUshamba![]()
![]()
![]()
Pacha buana
Sio Cd....nimeangalia jana yote Youtube 2GB inatosha na kubakiUmepata CD yake?