Makapuku Forum

Makapuku Forum

FIX ZA ST BITOZ:
hapo juzijuzi kulikuwa na Nyumba moja ya tajiri ambaye alikuwa na wafanyakazi 20 + vijakazi hewa maisha yalikuwa poa akawa anawalipa mishahara mdogo lakini mambo yalisonga

Sasa baada ya kufariki Nyumba ikarithiwa na mdogo wake ambaye ni bahili na mpenda sifa..akaja na Sera ya kubana matumizi na kuvisaka vijakazi hewa...akapunguza kutoka watumishi 20 hadi kuwa 7 tena bila kuajiri wapya...akakurupuka tena kwa kuwazuia wasiende nyumba za jirani

Now mkurupukaji kagundua mambo magumu pesa hakuna halafu mshahara anaowalipa hao 7 ni mkubwa kuliko wale 20 wa zamani....now anamsaka Mchawi
NB;
ni fumbo km hujaelewa kunywa togwa ulale usinisumbue

***********************
Bila shaka hili fumbo lako mpaka kulielewa inakubidi unywe Pombe sanaaa mpaka ulewe.
Tena ukiwa unakunywa usimsahau na rafiki yako Joseph.

NB: kabla ya kunywa pombe usisahau kufunga nyumba yako kwa kufuli.
 
1473276451575.jpg

.........
 
FIX ZA ST. BITOZ:
hapo juzijuzi kulikuwa na Nyumba moja ya tajiri ambaye alikuwa na wafanyakazi 20 + vijakazi hewa maisha yalikuwa poa akawa anawalipa mishahara mdogo lakini mambo yalisonga

Sasa baada ya kufariki Nyumba ikarithiwa na mdogo wake ambaye ni bahili na mpenda sifa..akaja na Sera ya kubana matumizi na kuvisaka vijakazi hewa...akapunguza kutoka watumishi 20 hadi kuwa 7 tena bila kuajiri wapya...akakurupuka tena kwa kuwazuia wasiende nyumba za jirani

Now mkurupukaji kagundua mambo magumu pesa hakuna halafu mshahara anaowalipa hao 7 ni mkubwa kuliko wale 20 wa zamani....now anamsaka Mchawi
NB;
ni fumbo km hujaelewa kunywa togwa ulale usinisumbue

***********************
Acha ninywe tu maana hamna namna sasa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom