1997 - Mobutu Sesseseko anafariki Dunia.
Alikuwa ni Rais na Dikteta wa zamani wa Zaire ( Congo ).
Aliingia madarakani baada ya kumuua Waziri Mkuu Patrice Lumumba.
Anatajwa kuwa Bilionea wa kwanza mweusi duniani.
Alitambulisha sera ya Africanization ambapo kila mtu ndani ya nchi yake alitakiwa kubadilisha jina lake la kizungu na kutumia la kiafrika.
Alianza yeye kubadili jina toka, Joseph Desire Mobutu mpaka Mobutu Sesseseko Kuku Bendu wa Zabanga.
Pia alibadili jina la nchi kutoka Congo mpaka Zaire.
Alijenga uwanja wa ndege wa kimataifa kijijini kwake.
Nipe na kazawadi sasa🙂🙂
KuvutwaaNimeamka poa sana...viungo vya mwili vinauma tu [emoji2]
Hubani nini?....[emoji4]
Cc sweetiepieMakaveli10 angekuepo karibu angekukanda [emoji4] [emoji4]
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Always usingizi huwa ni mnono pembeni ya briz
Sio TtclHamia airtel kwa muda [emoji2][emoji2][emoji2]
Cc Quigley
Kama tunda LIMEVUTWA silipatii picha mwonekano wake[emoji23]Tunda halipo...nalo lilivutwaaaa [emoji20][emoji20][emoji20][emoji20]
Cc makaveliPlease trust me, yale ni maneno tu...love can't you see i am dying here and lost without you? [emoji17][emoji17]
Sent from my SM-G361H using JamiiForums mobile app
Hahaha! Kumbe uliona, mashukuru kwa kuonaUlinishika mkono sana hadi ukawa unanivuta....nikashindwa kutusua [emoji58][emoji58]
Sent from my SM-G361H using JamiiForums mobile app
Kijana upoAngalia vizuri
Ilikuwa kwa nia njema lakin....[emoji4]Weeee tena uishie hapo hapo.
Mtu huyo apelekwe huko kwa kina kigli sisi wenyewe tunajiweza
Jua... Mwezi bhana.Leta ww unayejua
...........