Pamoja sana kiongoziBarida wanangu, kifupi nafurah uzi umepa, lengo letu as a family tumefanikisha..
Wengine wasihuzunike saana, ni ishu za kawaida, kila mmoja ni mshindi mpaka hapa tulipofikia, na kila mmoja ana rekod yake ambayo mwingine hawez ipata, mwenye post 89 nae ana rekod yake maana hamna atakayeweza kuivunja hyo.. Much respect kwenu nyote..
Watu fulani ndani ya muda mfup mmeweza kunitoa unyonge nilio nao nakujihisi mpya..
Have you ever missed some1 you have never seen.. Mie katika mara chache hii moja wapo, wakati mwingine najihisi mnyonge hasa kisa nimewamis makapuku wenzangu..
Shululu,jonaz,bitoz,Mussolini 5,werrason,Quigley, jimena,briz,sweetiepie nawapenda sana ndugu zangu, hii inatoka kwenye center kabsa ya moyo wangu..
Heshima kwenu wengine wote mliofanikisha uzi huu umefika hapa kwa namana moja ama nyingine
[HASHTAG]#SALUTE[/HASHTAG]
Morning to youGoodmorning FAMILY!!
Kwa hiki Kiswahili, kweli ndio unaamka![emoji2] [emoji2] [emoji2]Pamoja sana kiongozi
Hadi mimi bhaana mbona hivyo....[emoji22]Mi na wewe ankali tumeunusa ushindi kwa karibu kabisa
Kwangu ni kwema sana, uliadimika sana kaka.. KaribuTunamshukuru Mungu uzima unapatikana. Vipi kwako Mkuu?
Tena usinivuruge kabisaaa....we ndo mbaya wangu wa 100k!!!!!!!!!!!We Sweetiepie embu kuja huku nakuita
Ni kweli bhaana.Sio mbaya cha msingi tumeshiriki pamoja leo
Karibuni sana jamani hakuna kadi za mualiko [emoji4][emoji4]Asanteni wote kwa kushiriki kuwania post ya 100K
Pole sana kwa mamluki ambao walijaribu ila hawakuweza (Huu mchezo hauhitaji hasira)
Hongera kwa makapuku wote najua mlijaribu ila Jimena Jimenes ndio kiboko yenu[emoji85]
Lakini kama ilivyo desturi mshindi ni mmoja tu
briz and I tunawakaribisha sana tusherekee record hii ambayo kupatikana kwake ni manufaa kwa makapuku wote.
Peace and love
Cheers
View attachment 395219
View attachment 395220
Karibuni sana tufurahie pamoja.
[emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] bitoz aliyeiba hela za ice cream juu ya friji kuweka bando bado kafeli
Popote bitoz nakupungia[emoji112] [emoji112] nawe "PUNGA"
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mrs. NAVUTWAAAAA
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ni kwema mkuu, karibu tenanimerudi kapuku...habari za humu ndani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ilikua hatari sana papaaGoodmorning family, hongera Jimena kwa 100k naona timing hazikuwa predictable maana post kama 50 mbele Watu wanagombania[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
Morning Alphaking mahena!Habari za asubuhi makapuku wenzangu
[emoji23][emoji23][emoji23]Wote hao washakimbia
Ndo maana hukupata[emoji23][emoji23][emoji23]Yani ngepata mm mngejuata...
Nazan mnanitambua vzuri
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
CC: JimenaView attachment 395194
nani kanuna???
[emoji3][emoji3][emoji3] we nae jana ulitia fora aisee, umeamkaje lakin shem lake?Humu ndani kuna mchawi wangu, jana hivi hivi nilikuwa navutwa shati wakati naikimbiza 100k....na lazma atakuwa Jonax [emoji28][emoji28], nimelala kwa mawazo sana! haiwezekani msoc wangu nimeutelekeza ukapoa kwa ajili ya kufukuzia mwisho wa siku nikatoka na Nunge! wajanja mkawa mnatupia herufi moja moja kuitegea! mi naandika tu...mchawi mwingine ni yule Anajiita Nsekwa...alisema nimshike mkono ndio akanipunguza speed...[emoji35][emoji23][emoji23][emoji23]. Aaaaargh.
100k ni unique.....mweeeeee!Ngoja nilale naona 100k povu jingi mbona zingine hazikuleta mabishano
USIKU MWEMA
.....................
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nimem-quote mwingine imeenda kwingine!!! KF inaitetemesha JF[emoji23] hata post ya 100k inabadilika badilika