Asante. Na kwako pia Mkuu.Usiku mwema
Basi ntasubiri sanaMpaka arudi
Hahah,asante sana mkuuHahaa... Mbona makapuku wa humu hawajafilisika mkuu.. Makapuku safi tu, yao yanawaendea kama kawaida..
Sijataja jina, ila nimekutaja kwa tafsir ya maneno mkuu..
Karbu sana.
Hongera sana madame kwa kufikia 100k.Asanteni wote kwa kushiriki kuwania post ya 100K
Poleni sana kwa mamluki wote ambao walijaribu ila hawakuweza
Hongera kwa makapuku wote najua mlijaribu ila Jimena Jimenes ndio kiboko yenu
Lakini kama ilivyo desturi mshindi ni mmoja tu
briz and I tunawakaribisha sana tusherekee record hii ambayo kupatikana kwake ni manufaa kwa makapuku wote.
Peace and love
Cheers
View attachment 395219
View attachment 395220
Karibuni sana tufurahie pamoja.
Asante sanaHongera sana madame kwa kufikia 100k.
Cc Mrs NavutwaAsante sana
Cc sweetiepie
There you areSure.. Asiye na bahat, habahatiki.
Hivi mbona shida hivi?
100k ni ya nani?
Inasoma mara kwa musolon5
Quigley na jimena!
UwiiiiHahaha...NEC vipi? Lubuva vipi?
Kama vipi nipeni ushindi mimi
Jana nilikuwa nacheka sana hadi nikaulizwa....nkasema makapuku haoKufurahi kama hivi ni sehemu ya maisha
Hakika kapuku tumetisha sana
Hehee utajijuuuu.....povu litakutoka sana mwaka huuKwenda ukoooo
UCHOCHEZIAsanteni wote kwa kushiriki kuwania post ya 100K
Pole sana kwa mamluki ambao walijaribu ila hawakuweza (Huu mchezo hauhitaji hasira)
Hongera kwa makapuku wote najua mlijaribu ila Jimena Jimenes ndio kiboko yenu
Lakini kama ilivyo desturi mshindi ni mmoja tu
briz and I tunawakaribisha sana tusherekee record hii ambayo kupatikana kwake ni manufaa kwa makapuku wote.
Peace and love
Cheers
View attachment 395219
View attachment 395220
Karibuni sana tufurahie pamoja.
Jimena, morning bro