Makapuku Forum

Makapuku Forum

Kwa makapuku wote;
Napenda kutoa shukrani za dhati kwenu wote kwa mchango wenu wa katika uzi huu pendwa,
Ambao leo umeweka REKODI ya uzi wenye posts nyingi zaidi jf.
Zaidi ya yote pia napenda kuwashukuru kuniwezesha kuwa mshindi wa post ya 100,000, isingekuwa ushindani wenu mlioutoa nisingeweza kuwa mshindi,
Bitoz asante kwa ubunifu,
Jimena shukrani kwa chango wako kwa kufanikisha uzi huu kwa ushauri wako,
Billy5 nawe umehusika sana,

Wanachama hawa pia wamekuwa mstari wa mbele katka kusukuma uzi huu;
Musolin5 a.k.a dikteta
Briz..a.k.a baba jj
Shululu a.k.a simba mwenda pole
Sweetiepie...???
Na wengine wengi.

Ushauri
Tuendelea kushikamana zaidi wanduguu
Pamoja sana kiongozi
 
Nimefurahi sana jinsi forum ilivyokuwa busy kila mmoja akipambana kutaka kuingia kwenye vitabu vya kumbukumbu kwa kupata 100k.

Huu ni ubunifu wa pekee ambao pengine sisi ndio waasisi hapa JF.

Tuendelee na KF yetu, maana ndio uzi pekee uliofikia Milestone ya 100k toka kuanza kwa JF miaka 10 pekee.

Tuzidi kushirikiana kwani kwa sasa tupo kama ndugu, ingawa hatujuani kwa sura lakini upendo uliopo ni Mkubwa sana!

Pia nawakumbuka sana wenzetu walioishia njiani kama Szczesny naomba 100k iwe kwa heshima yake!

Ni wenu Mussolin5
a.k.a
Dikteta

Komredi

Bepari

Mwenyekiti.

Ahsanteni sana, amani iwe kwenu.
Pamoja sana na naunga mkono hoja

Kwa kumbukumbu nisave Google
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom