Sweetiepie
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 6,107
- 24,132
Watu hadi wakawa wananena kwa lugha...kaangalie post za jonaxForum ilikuwa busy sana hapa mwishoni
Watu hadi wakawa wananena kwa lugha...kaangalie post za jonaxForum ilikuwa busy sana hapa mwishoni
Pamoja sana bepariNimefurahi sana jinsi forum ilivyokuwa busy kila mmoja akipambana kutaka kuingia kwenye vitabu vya kumbukumbu kwa kupata 100k.
Huu ni ubunifu wa pekee ambao pengine sisi ndio waasisi hapa JF.
Tuendelee na KF yetu, maana ndio uzi pekee uliofikia Milestone ya 100k toka kuanza kwa JF miaka 10 pekee.
Tuzidi kushirikiana kwani kwa sasa tupo kama ndugu, ingawa hatujuani kwa sura lakini upendo uliopo ni Mkubwa sana!
Pia nawakumbuka sana wenzetu walioishia njiani kama Szczesny naomba 100k iwe kwa heshima yake!
Ni wenu Mussolin5
a.k.a
Dikteta
Komredi
Bepari
Mwenyekiti.
Ahsanteni sana, amani iwe kwenu.
SanaaShidaaaa
JJ kachukua!!
Uko sawa kabisaCc mtoto wa mkulima
Naona hunizidi mimi....huku mbavu zinauma!! angalia post za Jonax!!![]()








we acha tu leo nimecheka mpaka machozi asee asante sana kwa hili chekoPole jiraniNani kachukua???
Cc QuigleyNani kachukua??
Mechi za mchanganiHahaha jitahidi kwenye 101k
PoyeeeeeKupatwa kwa Dikteta
Thanks kakaAisee..Haikuwa bahati yangu.
Nichukue nafasi hii kukupongeza kwa 100k.
Tulikuwa wengi lakini Mshindi ilibidi awe mmoja. Hongera sana!!
Hongera za pekee ziende kwa Katibu wangu kwa 100k, Nilianza mimi kwa 50k yeye amefata kwa 100k.View attachment 395133
W.I.N.N.E.R
Hongera
Sasa mvizie ya 150k
.................
..................
*************

Haya buana, Ureno timu wamefanya yaoMm ntailaumu pombe tu na si kingine
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Asante mzee wa parole

Mi nilikuwa busy naitafuta 100k...ulikuwa unasemaje Caspary?Fanya ivyo bas
Nmefanya fitna lakin haikusaidiawe acha tu leo nimecheka mpaka machozi asee asante sana kwa hili cheko
Cc all Kapukuz
