Makapuku Forum

Makapuku Forum

1473172402984.jpg
Sijamuelewa huyu baba....
 
KAPUKU YEYOTE MWENYE UCHU ALIKUWA NA UWEZO WA KUTUPIA 100K KABLA YA LEO SAA 12 NA NUSU ASUBUHI

100000-98588=1412
{posts mpaka 100k kabla ya saa kumi na mbili na nusu asubuhi kuanzia sa saba na dk49 usiku}

06:40:00-01:49:00=04:51:00
{masaa manne na sekunde 51 bila member yeyote kuchangia}

4*3600+51*60=17460

17460/1412=12.3654390934
{muda wa kuandika na kutuma post moja [kila sekunde 12.365.....] kuanzia hiyo saa 7 na dk 49 usiku}

12*1412=16944
{kwa kutumia muda usiozidi sekunde 12 TU}

17460-16944=516 516/60=8.6=>8:10
{zinabaki dk 8 na sekunde 10 mpaka unamaliza tukio zima}

=>6:29:50
{mpaka leo saa 12 na dk 29 na sekunde 50 TUU, 100k inakuwa imeishatumbuliwa}

cc:all kapukuz Mussolin5 jonax briz Jimena Bitoz Bailly5 shululu Sweetiepie Cobblepots makaveli10 nk

Wenu,
Tetramelyz ahsanteni
Huu mchanganuo ni batili mkuu... 100k ntaitupia kesho mishale ya sita mchana [emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom