Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,230
- 68,262
Leo katika Historia:
1930 - Rais Hipolito Yrigoyeni anapinduliwa katika Mapinduzi ya Kijeshi.
1930 - Rais Hipolito Yrigoyeni anapinduliwa katika Mapinduzi ya Kijeshi.
Wa nchi ganiLeo katika Historia:
1930 - Rais Hipolito Yrigoyeni anapinduliwa katika Mapinduzi ya Kijeshi.
Leo katika Historia:
1930 - Rais Hipolito Yrigoyeni anapinduliwa katika Mapinduzi ya Kijeshi.
1948 - Juliana anachaguliwa kuwa Malkia wa Uholanzi.
1972 - Mauaji ya Munich, ambapo Kikundi cha kigaidi cha Kipalestina cha Black September kinawaua wanamichezo 9 wa Israel waliowateka siku moja kabla.
Beki kisiki1980 - Joseph Yobo anazaliwa.
Ni mchezaji wa zamani wa Everton na timu ya taifa ya Nigeria.
1997 - Mazishi ya Princess Diana yanafanyika huko London ambapo waombolezaji zaidi ya Milioni 2 walijitokeza katika mitaa kutoa heshima zao za mwisho.
Watu zaidi ya Bilioni 2.5 walifatilia Mazishi hayo kupitia Luninga zao.
Asante sana mkuu mussolinLeo katika Historia:
Kwa udhamini mnono wa 100k tukutane tena kesho.
byeee
pamoja MkuuAsante sana mkuu mussolin
1973 - Carlo Cudicini anazaliwa.
Ni golikipa wa zamani wa Chelsea.
1980 - Joseph Yobo anazaliwa.
Ni mchezaji wa zamani wa Everton na timu ya taifa ya Nigeria.