Kumbee kulikuaga na wababe wa kumjambisha castro1957 - Vuguvugu la mapinduzi ya Cuba linapamba moto baada ya Dikteta wa Nchi hiyo Fulgencio Batista kulipua mabomu katika kitongoji cha Cienfuegos ndani ya Jiji la Havana akiaamini atawakomoa akina Fidel Castro na wenzake.
I wish huyu jamaa angekuepo nafasi pacquiao anitungulie yule mista misifa maywheather anayeweka record kwa kukimbiakimbia tu ulingoni1960 - Bondia Muhammad Ali anashinda medali ya dhahabu katika Masumbwi ya uzito wa juu katika Olimpiki ya majira ya joto huko Jijini Rome nchini Italy
Hii naitafuta sasa hivi bila kuchelewa1972 - Yanatokea mauaji ya kutisha katika michezo ya Olimpiki huko jijini Munich nchini Ujerumani.
Tukio hilo maarufu kama " Munich Massacre " lilifanywa na kikundi cha Wapalestina kilichojulikana kama Black September dhidi ya wanamichezo wa Israel.
Baada ya kuvamia kijiji cha Olimpiki, Kundi hilo la Black september likaua Waisrael na kuwashikilia mateka baadhi.
Hali iliyopelekea Shirika la Ujasusi la Israel, Mossad kuandaa Operesheni na kuwasaka wauaji wake wakiwa hai au wamekufa.
Ilikuwa ni Operesheni ya aina yake kuafanywa na Mossad chini ya kikundi hatari cha uuaji kijulikanacho kama KIDON.
Waliuwa wote waliohusika katika mauaji yale ya Munich.
Tafuta documentary iitwayo " Mossad The World's Most Killing Machine "ufaidi uhondo.
Hii nayo kali hapa wengine walilazimika kunyoa nadhani1698 - Mfalme Peter wa Kwanza wa Nchini Urusi anatambulisha kodi ya Ndevu kwa wanaume nchini humo kasoro Wakulima tu.
Tafuta operation Wrath of godHii naitafuta sasa hivi bila kuchelewa
Nimepima upepo tu, nipo hapaHii ni habari njema kuweza kutokea hapa KF
kweli mkuu! Huko Syria ni kitu cha kawaida kwaoYalivyolipuka sauti ilifika hadi Mabibo
Kweli mabomu yasikie tu
......
Nia ninayo, nguvu pamoja na uwezoBriz yeye yupo kambi kabisa, kisa 100k
Alipotea sana!Kule hakushine kabisa
JJCc Jimena Jimenes
Tunazo wachache sanaHizo ni za kibepari
Mfalme UchwaraAkilili ndogo + wivu
...... ..
Castro hakuwa na madaraka, hapo ndio walikuwa wanaendesha vita vya msituni kumtoa dikteta huyo ambaye alukuwa ni kibaraka wa WamarekaniKumbee kulikuaga na wababe wa kumjambisha castro
Hao waarabu viburikweli mkuu! Huko Syria ni kitu cha kawaida kwao
Madrid waharibifuAlipotea sana!
Ila madrid iliua wengi;
Sneider
Van Der Vaart
Klas Jan Huntelaar
Ricardo Kaka
100kIssue gani mnazungumzia
.........