Camilo Cienfuegos JF-Expert Member Joined Apr 23, 2015 Posts 19,232 Reaction score 68,262 Sep 4, 2016 #97,321 shululu said: Kapiga shuti ikagonga besela ikaingia wavuni, baada ya hapo kwenye togwa kwanza na kambale Click to expand... hahaha
shululu said: Kapiga shuti ikagonga besela ikaingia wavuni, baada ya hapo kwenye togwa kwanza na kambale Click to expand... hahaha
Glenn JF-Expert Member Joined May 23, 2015 Posts 70,485 Reaction score 167,271 Sep 4, 2016 #97,322 briz said: Haha ningekuepo kipindi anaaga pengine labda ningefahamu mkuu, kuhusu kuondoka kwake bado ni wingu zito siijaweza kutambua Click to expand... Najitahidi tuonane live, nashukuru amekubali, akifunguka na akinipa ridhaa ya kusema nitasema
briz said: Haha ningekuepo kipindi anaaga pengine labda ningefahamu mkuu, kuhusu kuondoka kwake bado ni wingu zito siijaweza kutambua Click to expand... Najitahidi tuonane live, nashukuru amekubali, akifunguka na akinipa ridhaa ya kusema nitasema
briz JF-Expert Member Joined May 8, 2013 Posts 4,275 Reaction score 19,110 Sep 4, 2016 #97,323 QUIGLEY said: Wakikuogopa ni faida kwangu Click to expand... naona jinsi unavyojua kutengeneza mazingira
QUIGLEY said: Wakikuogopa ni faida kwangu Click to expand... naona jinsi unavyojua kutengeneza mazingira
briz JF-Expert Member Joined May 8, 2013 Posts 4,275 Reaction score 19,110 Sep 4, 2016 #97,324 Sweetiepie said: Now you know...!! Click to expand... Yep
makaveli10 JF-Expert Member Joined Mar 27, 2013 Posts 36,011 Reaction score 104,594 Sep 4, 2016 #97,325 jonax said: Sizitaki mbichi hizi Click to expand... Hadithi hyo ipo kwenye kitabu cha kiswahili darasa la 3
jonax said: Sizitaki mbichi hizi Click to expand... Hadithi hyo ipo kwenye kitabu cha kiswahili darasa la 3
shululu JF-Expert Member Joined Jan 26, 2015 Posts 28,137 Reaction score 109,911 Sep 4, 2016 #97,326 Sweetiepie said: Usimsikilize huyo mtu ni danger sana! Click to expand...
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,105 Sep 4, 2016 #97,327 briz said: Naona mapenzi yenu yapo kisayansi kabisa Click to expand... Yako na hadi fomula
makaveli10 JF-Expert Member Joined Mar 27, 2013 Posts 36,011 Reaction score 104,594 Sep 4, 2016 #97,328 Jimena said: Mzee sana yule hawezi kuwa 89 Click to expand... Bora useme wewe kiazi, nikisema mimi muhogo nina mizizi..
Jimena said: Mzee sana yule hawezi kuwa 89 Click to expand... Bora useme wewe kiazi, nikisema mimi muhogo nina mizizi..
Sweetiepie JF-Expert Member Joined Jul 30, 2016 Posts 6,107 Reaction score 24,132 Sep 4, 2016 #97,329 jonax said: Njoo utulizwe nafsi yako hapa City na BoyView attachment 393652ya nini uteseke Click to expand... Age range 28+ above ????.
jonax said: Njoo utulizwe nafsi yako hapa City na BoyView attachment 393652ya nini uteseke Click to expand... Age range 28+ above ????.
Glenn JF-Expert Member Joined May 23, 2015 Posts 70,485 Reaction score 167,271 Sep 4, 2016 #97,330 briz said: naona jinsi unavyojua kutengeneza mazingira Click to expand... Mimi muwindaji mkuu wangu. Huwa nafurahi sana nkiwa live na manuu huwa fujo sana, popote tukiingia warembo wana shakeee
briz said: naona jinsi unavyojua kutengeneza mazingira Click to expand... Mimi muwindaji mkuu wangu. Huwa nafurahi sana nkiwa live na manuu huwa fujo sana, popote tukiingia warembo wana shakeee
shululu JF-Expert Member Joined Jan 26, 2015 Posts 28,137 Reaction score 109,911 Sep 4, 2016 #97,331 makaveli10 said: Hahaa.. Jonax kikofia ukuje kwa huku.. Click to expand... Anatafutwa na wasira
Kitombise JF-Expert Member Joined Sep 24, 2013 Posts 8,652 Reaction score 25,849 Sep 4, 2016 #97,332 Bitoz said: Zober ww ......... Click to expand...
Bitoz JF-Expert Member Joined Aug 27, 2015 Posts 30,823 Reaction score 126,636 Sep 4, 2016 #97,333 Sweetiepie said: Miss you too Click to expand...
makaveli10 JF-Expert Member Joined Mar 27, 2013 Posts 36,011 Reaction score 104,594 Sep 4, 2016 #97,334 QUIGLEY said: Wala simtaki Click to expand... Utamtaka vip nawe kivuruge nia yako kuharibu maisha ya yule binti..
QUIGLEY said: Wala simtaki Click to expand... Utamtaka vip nawe kivuruge nia yako kuharibu maisha ya yule binti..
shululu JF-Expert Member Joined Jan 26, 2015 Posts 28,137 Reaction score 109,911 Sep 4, 2016 #97,335 makaveli10 said: Hahaa.. Dah, sijawah kuwaza, nilizaliwa na vipaji vingi ila vyote vinafiaa hv hv.. Tumezaliwa kwenye nchi hizi unategemea nin.. Click to expand... Ya kuua vipaji
makaveli10 said: Hahaa.. Dah, sijawah kuwaza, nilizaliwa na vipaji vingi ila vyote vinafiaa hv hv.. Tumezaliwa kwenye nchi hizi unategemea nin.. Click to expand... Ya kuua vipaji
Werrason JF-Expert Member Joined Nov 5, 2014 Posts 13,228 Reaction score 39,956 Sep 4, 2016 #97,336 Sweetiepie said: Nacheka sana unavyochekaa!! Click to expand...
Sweetiepie JF-Expert Member Joined Jul 30, 2016 Posts 6,107 Reaction score 24,132 Sep 4, 2016 #97,337 eden kimario said: Wanajua kabisa mi ni shabiki wa the blues then wananipondea striker wangu mtukutu costa Ila poa sweetiepie ngoja niwakaushie tu Click to expand... Kawaida tuu humu full matani
eden kimario said: Wanajua kabisa mi ni shabiki wa the blues then wananipondea striker wangu mtukutu costa Ila poa sweetiepie ngoja niwakaushie tu Click to expand... Kawaida tuu humu full matani
shululu JF-Expert Member Joined Jan 26, 2015 Posts 28,137 Reaction score 109,911 Sep 4, 2016 #97,338 QUIGLEY said: Ulikua hujaachika rasmi nionyeshe kuwa ckutaki kukwepa lawama but wakati mnazozana yaani ilikuwa furaha kwangu nikijua utadondokea kwa quigley Click to expand... Vita vya panzi................ Furaha ya kunguru
QUIGLEY said: Ulikua hujaachika rasmi nionyeshe kuwa ckutaki kukwepa lawama but wakati mnazozana yaani ilikuwa furaha kwangu nikijua utadondokea kwa quigley Click to expand... Vita vya panzi................ Furaha ya kunguru
Glenn JF-Expert Member Joined May 23, 2015 Posts 70,485 Reaction score 167,271 Sep 4, 2016 #97,339 Mussolin5 said: poa poa mkuu Click to expand... J2 imeenda poa kwako bila shaka
Kitombise JF-Expert Member Joined Sep 24, 2013 Posts 8,652 Reaction score 25,849 Sep 4, 2016 #97,340 Bitoz said: Puli zitakuua ww ......... Click to expand... Nkishampata huyu mrembo naacha