Mwanamke mnafk wewe.. Nmekwambia jiandae twende kwa mkweo anakuhtaji ukavunga vunga, kumbe nia na madhumun upate kutoka na Quigley....
Sasa chukua kila unachoona kinakufaa na unachoweza kubeba ondoka navyo.. Mie niachie roho yangu tu na nyumba yangu, napiga simu hone shemej yako alete ile canter ubebe unavyovihitaji nikusindikize nyumban..