Makapuku Forum

Makapuku Forum

Unapewa number na dem alaf
anakuambia uwe unampigia saa 6 usiku pekee,
unashindwa na unajiuliza ni kwanini? kidogo kidogo
ukichunguza na unagundua amekusave
"alarm".......
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Robert Mugabe.
 
hii imenitouch sana
Am very sorry, sina jinsi, nakupa maisha yale unayoyataka, acha nikuache huru uishi maisha yako, jambo zuri niwezalo kulifanya kwa mwanamke nimpendae ni kumpa ile furaha ya moyo wake, furaha ya maisha yake.. I cnt hold u no mo.. Its the time to giv u a happiness.[emoji17] [emoji17] [emoji17]
 
Twende rum basi ukani hug huko au?
No! Si rahisi, trust me, huwez rudisha muda. Imetosha cwt p, Hakuna kitakachoweza kunibalisha kwa sasa, nakupenda kwa dhat thats y nakupa nafasi uishi maisha yako, nilikupenda, nakupenda, n ntazid kukupenda, every step u step, u wl b stepping with my love, mapenz yangu kwako yalikuwa ya ukweli naona may b hukujua..

Anyway kiza kinaanza kutanda bye cwt p wangu.. [emoji8] [emoji8]
 
Unapewa number na dem alaf
anakuambia uwe unampigia saa 6 usiku pekee,
unashindwa na unajiuliza ni kwanini? kidogo kidogo
ukichunguza na unagundua amekusave
"alarm".......
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Robert Mugabe.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom