makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 36,011
- 104,597
Thats true...Uongo mtupu
Umri wa mtu anaujua mama ake mzazi
......
Thats true...Uongo mtupu
Umri wa mtu anaujua mama ake mzazi
......
Mwanamke mnafk wewe.. Nmekwambia jiandae twende kwa mkweo anakuhtaji ukavunga vunga, kumbe nia na madhumun upate kutoka na Quigley....
Sasa chukua kila unachoona kinakufaa na unachoweza kubeba ondoka navyo.. Mie niachie roho yangu tu na nyumba yangu, napiga simu hone shemej yako alete ile canter ubebe unavyovihitaji nikusindikize nyumban..![]()
![]()
![]()
![]()

















Seriously nimecheka sanaaaa!!!Swali jepesi tu fundi eden.. Hiv costa kazaliwa wapi!!?Ulaya mtu hafichi umri wake we amini tu
Shangaa wewe!!Costa mzungu?
Kazaliwa Europe?
......
TuliyamalizaShangaa wewe!!
Ushahidi tosha..Alizama, akatoka naona kazama tena....this time ntahakikisha hachomoki!!
Daah jamani usinifanyie hivo...eden ni kivuruge tuUshahidi tosha..
Mzee nux yule, ila bitoz nae si mtu wa kumbeza..Akilimali kakuzidi kikofia tu
Wakat anakipaj cha kutengeneza jina lakeNiyonzima fabrigas
We jichanganye km unataka uwekwe jina utawekwa
Na ndio nishafika hadi huko mbele kwenye ubaya..Naomba ishia hapo hapo, huko mbele ndio pabaya zaidi.
Usione bwege mtozeni.. Nimefika kitambo nilikuwa nawaskia yote mliyokuwa mnaongea.. Na nnarekod zetu zote, picha, saut mpaka video yote mliyoyatenda ndan ya nyumba yang..Hamna hubby, namfariji tu kidogo.
Daah naona Quigley kafanikiwa kunivunjia ndoa hata mwezi haijamalizaNa ndio nishafika hadi huko mbele kwenye ubaya..







CC: Bitoz & JimenaWakuu habari zenu? kuna huu uzi hapa unaitwa Makapuku naona umekuwa maarufu sana ila kwa bahati mbaya sijui unahusika na nini.Nimejitahiji sana kuufuatilia ila nimebaki mataa....Ebu nielezeni lengo, wahusika na maana halisi ya Makapuku forum.
Nile nini.. Uniue kabisa upate kujitawala ndan ya nyumba yangu eeh.. Kula na bwana wako Quigley kama kula mali..Njoo tule