makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 36,011
- 104,594
Ichek movie ya snoop na wizzi khalifa kuna kipengele wanaizungumzia pussy..uko sahihi kwa asilimia kubwa sana
Hawa jamaa services nyingi wanatoa bure sa sijui wanarudishaje hela zao1998 - Google yazinduliwa rasmi.
Baba swt pMwewe..
Hii couple ya hawa mastaa naikubali sana.... Baby wangu Jimena tuichukue hii kama sample1981 - Beyonce Knowles anazaliwa.
Ni mwanamuziki toka nchini Marekani.
Mke wa Jay Z.
Nzuri, za wewe brizHabari za jumapili kapukuz!
Aksante kwa historia kiongoziLeo katika Historia:
Kwa udhamini mnono wa KF members, sina la ziada tukutane kesho!!
Karibu JJ kwa magazeti.
Jumapili njema!!
Mzee wa mombasa vpUkitoa shilingi 10,000 bar unaonekana kibopa lakini ukitoa hiyo noti kwenye daladala unaonekana msumbufu.. Hii inaitwa muktadha... Ukivaa gauni refu la kitenge kanisani unaonekana una maadili ila ukivaa gauni kama hilo club unaonekana mshamba... Hii inaitwa utambuzi... Ukinyoa para kama una hela unaonekana smart ila kama ni masikini unaonekana chokoraa.. Hii inaitwa nguvu ya pesa.
MUWE NA WEEKEND NJEMA WAUNGWANA......
Jigga hiyo ni miguu ama mikono?
Ilikua wap hiyo ankali?Namkubali sana Beyonce, pia nimemuona kwa macho yangu
Wanaingiza pesa nyingi sana kwenye matangazo ya biasharaHawa jamaa services nyingi wanatoa bure sa sijui wanarudishaje hela zao
Hahah kumbe!!Kweli, unakumbuka alikuja bongo na jayz, kwenye program ya maji, alikuja mpaka mwananyamala
Alivyokuja bongo pamoja na jayzIlikua wap hiyo ankali?
Umeamkaje papaa, shululu huwa anasali sala fupi jumamosi jioni inatoshaMorning family, Shululu nenda church please
Baby.. Umeamkaje?View attachment 393313View attachment 393314
Asanteni sana kwa kuwa nami katika kuperuzi magazeti ya Leo
Jina langu ni Jimena Jimenes
Kwa udhamini mkubwa kabisa wa ankali shululu na post ya 96k nawatakia jumapili njema na muwe na furaha tele
Adios
Ukitoa shilingi 10,000 bar unaonekana kibopa lakini ukitoa hiyo noti kwenye daladala unaonekana msumbufu.. Hii inaitwa muktadha... Ukivaa gauni refu la kitenge kanisani unaonekana una maadili ila ukivaa gauni kama hilo club unaonekana mshamba... Hii inaitwa utambuzi... Ukinyoa para kama una hela unaonekana smart ila kama ni masikini unaonekana chokoraa.. Hii inaitwa nguvu ya pesa.
MUWE NA WEEKEND NJEMA WAUNGWANA......
Oky, chwitiiYaah nafaham my love...ngoja nijiandae fasta.